TANZIA Muuguzi wa Hospitali ya Mirembe auawa kikatili na Mumewe kwa kukatwa mapanga

We learn something new everyday
 
Ifike wakati tuache kutegemea watu kutuletea furaha. Ukiweka matarajio makubwa kwa watu ukija kugundua mtu hayupo ulivyotarajia matokeo yake ndiyo haya.
Kila mtu ana haki ya kufanya chochote kwa mwili wake pia, hivyo ukigundua mtu siyo mwaminifu achana naye. Na siyo kumchagulia adhabu.
 
R. I. P muuguzi, ndugu yetu dada yetu. Jamani ukiona mko kwenye ndoa mwenzi wako anatishia uhai wako kimbia haraka kwa kweli. Hivi visa vya kuuana vinatisha sasa.
 
Hapo milembe napafahamu vizuri wauguzi pamoja na waalimu wa kike wa chuo cha milembe wengi wao wanazisaliti ndoa zao kwa kutafuta faraja na burudiko la moyo..jamaa aliuchoka upuuzi , usaliti pamoja na dharau za muuguzi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…