TANZIA Muuguzi wa Hospitali ya Mirembe auawa kikatili na Mumewe kwa kukatwa mapanga

Kweli wewe unafaa sana kwenye ushauli wengi hawajui hilo ushauli bora kabisa ongera sana
 
Zirudi zile ndoa zetu za kiasili
ukristo huletaubinafsi na uchoyo,unaoa/kuoelewa na mume mmoja kati ya karibu watu 2billion.
Unamchoka,ila dini haitaki umwache mpaka mmoja wenu afe.
Hivyo kifo ndiyo suluhu namba moja dhidi ya ndoa za kinafki za kikristo
bora hata kidogo uislamu,ndoa siyo nira,unaoa na kuacha muda wowote.
Ndiyo maana kati ya haya mauji katika ndoa ukichunguza:80% ni wakristo,10% waislamu iliyobaki ni hizo dini zingine.
 
Inaonyesha mchaga alikufira mkuu, Yani kila jambo Hadi la wagogo unahusisha wachaga, huyo mchaga mmoja aliyekutenda vibaya msamehe na mtoe moyoni
 
Khaaa ulioa Gaidi mkuu[emoji26][emoji1783][emoji1783]bora malaika wako hakukuangusha usingeamka sasa hivi tungekuwa tunazungumza mengine!!
 
Atakua mchaga wa ruangwa au unguja
 
Ndoa ngumu sana,ukiwa ndani ya ndoa lazima mmoja awe na ukichaa ili mambo yaendee
 
Hatujui alifanya ninin mpaka jamaa akamuaa kumsort. Mpaka tusikie na ya upande wa pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…