Muujiza ni Tundu Lisu kumshinda Bilionea Mbowe na Bilionea Wenje kwenye Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema. Wataalamu wa Nyota wanasemaje?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Alikuwa Mbunge wa Singida Mashariki na Anaishi Tegeta Dar es salaam Mashariki si Mwingine ni Mwenyekiti Mpya wa Chadema Mh Tundu Antipasi Lisu

Kwa namna alivyowashinda mabilionea wa Chadema na kuwa Mwenyekiti ndio Muujiza Wenyewe

Yanayoendelea Chadema na CCM Kwa sasa yamebeba SIRI kubwa ya Kimungu ndani yake

Mungu ni mwema wakati wote πŸ˜€
 
Ushindi wa Tundu Lissu Ni afya kwa demokrasia yetu kuwa na upinzani imara. Hii ni wake up call kwenye maeneo yote ambako haki inadhulumiwa na uwajibikaji unadorora Baada ya uchaguzi tunavunja kambi, sasa hivi Tundu Lissu ndiye tegemeo letu wote kuifanya Serikali iwajibike
 
SIRI ni CCM kuachia madaraka Kwa amani!tutaweza!!?
 
wanaotegemea majini kwa hisani shekhe wetu itakuwaje?
 
Kwa sasa hakuna haja ya kumtafuta waganga na waganguzi kuhusu vipi yalitokea yaliyotojea kwa sababu tayari yameshatokea. Stargazers wangetumika kwanza kabla ya tukio, vinginevyo ni ulaghai mtupu.
 
Walikuwa wanamsifia kwa sababu ya matumbo Yao ila ukweli walikuwa wanaojua ila kwa kwa sababu walikuwa machawa wake walikuwa hawana namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…