Bwana Bongo Senior Member Joined Dec 12, 2021 Posts 146 Reaction score 212 May 15, 2022 #1 Muulize mshawishi wake mkubwa ni nani? Akikwambia nandy, agnes masugange, Wema sepetu Huyo ni mwanamke anaye penda mambo ya juu! Akisema mama uyo ni wakupeleka home kabisa ukaonane na wazazi wake[emoji23][emoji23][emoji23]
Muulize mshawishi wake mkubwa ni nani? Akikwambia nandy, agnes masugange, Wema sepetu Huyo ni mwanamke anaye penda mambo ya juu! Akisema mama uyo ni wakupeleka home kabisa ukaonane na wazazi wake[emoji23][emoji23][emoji23]