Muumini akiwa ofisini kwa Pastor Masanja Mkandamizaji

Ukisikia zigo la dhambi ndio hili wallah,..
Hakika,makalio na mahips ya hvyo nayaitaga ya kishetan,ukiwa na dada wa hvyo nyumban kuanzia baba na makaka macho yao yanapata shda hutak kulitazama lakin unajkuta tu ushaliangalia
 
Binafsi sijawahi kumwelewa Mkandamizaji kwenye masuala ya dini, naona kama anatafuta kiki tu kama ilivyo kwenye comedy zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…