Muumini akiwa ofisini kwa Pastor Masanja Mkandamizaji

Muumini akiwa ofisini kwa Pastor Masanja Mkandamizaji

Sema bongo kuna vitu jamani.
Wata kaokufa na ukimwi mungu uenda atawafikiria kuwapunguzia adhabu.
 
Sema bongo kuna vitu jamani.
Wata kaokufa na ukimwi mungu uenda atawafikiria kuwapunguzia adhabu.
 
Kipedo kimejaa mzigo utafikiri kinataka kuchanika. Hatari sana shekhe.
 
Mm sitaki kumshirikisha Sir God kwenye dhambi zangu,
Hapana aiseee

Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
Watu wanamchezea MUNGU hatari. Hawajali ni nini mbele. Anachojali yeye pesa pesa pesa kapataje,iwe kwa kutumia neno la MUNGU vibaya ama vyovyote ili mradi apige hela. Yoyote utakaemuona anamiliki kanisa la kwake hao wote ni tamaa ya pesa tu ujue hakuna neno hapo
 
Back
Top Bottom