Muumini wa Kanisa la Gwajima “Rais tusamehe, tufungulie Kanisa Watoto tusali, kama kuna tatizo malizana na Baba”

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Abel Masebo ambaye alijitambulisha kuwa ni muumini wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Kanisa la Ufufuo na Uzima) amezungumza na Azam TV na kueleza ujumbe wake kwa Rais wa Nchi akimuomba afungue Kanisa hilo ambalo limefungiwa na Serikali.

Amezungumza hayo akiwa nje ya Kanisa la Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam.
 
Huyu Sio Muumini wa Gwajima, Katibu wa Askofu Gwajima Ameshatoa Maelekezo jana Jioni na Leo na Gwajima kasema Leo ataongea..

Hata Anavyoongea Tu sio na Hakuna List ya Jina la Abel masebo kwa Waumini wa Gwajima..

Katibu wa Kanisa Amekwisha toa Waraka watu wakae majumbani kwao wafanye Huko Ibada yeye Ameendaje Kanisani wakati Tayr tamko la Kanisa Limetoka??
Kwamba Angesema akiwa Nyumbani tusingemwamini 🤣🤣🤣
EPUKA KUWA MTEMBEZA PROPAGANDA MKUU
 
Huyu Sio Muumini wa Gwajima, Katibu wa Askofu Gwajima Ameshatoa Maelekezo jana Jioni na Leo na Gwajima kasema Leo ataongea..

Hata Anavyoongea Tu sio na Hakuna List ya Jina la Abel masebo kwa Waumini wa Gwajima..

EPUKA KUWA MTEMBEZA PROPAGANDA MKUU
Kwamba mna orodha ya majina ya waumini wote wa Gwajima? Ahahahahaha! Wewe upo namba ngapi?
 
Na wa huku Jijini, Mwanza majirani zangu majina yao mnayo? Ngoja niwaulize kama waliandika majina!
Kwani Nikuulize Kuna Kanisa Ambalo halifahamu washiriki wake?
Yaani Mchungani ambaye anaswalishe kanisa hana Idadi na Majina ya washiriki? Anatoaje cheti cha Ubatizo? Anasahili vipi watu kwa Huduma mbali mbali?
Wewe Utakuwa Mgeni wa Kusali Anhaa Nimeona Wewe Ni mtoto wa Shule..

Sasa Tuache Hayo Huyo unayemuona Hapo Yuko Mwanza?
 
Abel Masebo ambaye alijitambulisha kuwa ni muumini wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Kanisa la Ufufuo na Uzima) amezungumza na Azam TV na kueleza ujumbe wake kwa Rais wa Nchi akimuomba afungue Kanisa hilo ambalo limefungiwa na Serikali.

Amezungumza hayo akiwa nje ya Kanisa la Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam.
Kwa hiyo wanawaweka watu ili waombe msamaha halafu mama atoke aseme amewasikia waumini wa Gwajima. Ameguswa, na maombi yao kama mama amemwagiza anayehusika aangalie namna ya kuondoa zuio lililowekwa kwa makanisa ya Gwajima
 
Kwani Nikuulize Kuna Kanisa Ambalo halifahamu washiriki wake?
Yaani Mchungani ambaye anaswalishe kanisa hana Idadi na Majina ya washiriki? Anatoaje cheti cha Ubatizo? Anasahili vipi watu kwa Huduma mbali mbali?
Wewe Utakuwa Mgeni wa Kusali Anhaa Nimeona Wewe Ni mtoto wa Shule..

Sasa Tuache Hayo Huyo unayemuona Hapo Yuko Mwanza?
Mbona umepaniki dogo? Si nimesema ngoja niwaulize majirani zangu?
 
Abel Masebo ambaye alijitambulisha kuwa ni muumini wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Kanisa la Ufufuo na Uzima) amezungumza na Azam TV na kueleza ujumbe wake kwa Rais wa Nchi akimuomba afungue Kanisa hilo ambalo limefungiwa na Serikali.

Amezungumza hayo akiwa nje ya Kanisa la Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam.
Kichekesho!
 
Huyu Abel Masebo ni mpumbavu na hajawahi kuelewa ujumbe uliopo kwenye Biblia 😔 Rais ni binadamu kama wewe, anapumua hewa ya Oxygen kama wewe. Anaingia chooni kukisaidia kama wewe! Anapata usingizi kama wewe.
 
Back
Top Bottom