Hana uwezoShida yako huwa hujibu comments za watu
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana uwezoShida yako huwa hujibu comments za watu
Na hilo ndio tatizo kubwa ambalo linafanya baadhi ya wenzetu hawa wawe wanadharauliwa.Shida yako huwa hujibu comments za watu
Kwani kujibu mpk uwe na uwezo?
Sahihi kabisa ukileta thread jibu na comments za wadauNa hilo ndio tatizo kubwa ambalo linafanya baadhi ya wenzetu hawa wawe wanadharauliwa.
Umeleta hoja nzuri na watu wanajadili mawazo yako hivyo wakiuliza mahali usi kae kimya maana wanaona ni dharau na unafanya kuwa yako sio maoni bali ni AMRI.
Sasa nami nakuamuru Mdude_Nyagali rudi ujibu na kutoa ufafanuzi wa mawazo yako haya kabla hawajaharibu thread hii.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Sahihi kabisaHao wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya j8mbo hata ikitokea wanatokana kwa kuomba kura bado watakua chini ya mwamvuli wa ma DC na DED ambao watahitaji ushirikiano maana ndio wasimamizi wakuu wa ulin,i na usalama wa maeneo husika. Huoni kuna namna kutatokea ushindani wa kimaslahi?
Tume huru itaonekana mpaka itakapopatikana katiba mpya