Chalii Wa Kipare
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 462
- 907
Hivi ndugu zangu Watanganyika tutaelimika lini? Yani tunaburuzwa kwenda kupiga kura ilihali Mshindi anajulikana nasi hatuoni shida! Hivi katuloga nani?
Unaacha shughuli zako kabisa na kwenda kuunga foleniš®š® Mimi kama Prof. Assad tu, kama tumeshindwa kupigania mifumo huru na thabiti sioni haja ya kupoteza muda wangu kwenye mafoleni.