Hivi ndugu zangu Watanganyika tutaelimika lini? Yani tunaburuzwa kwenda kupiga kura ilihali Mshindi anajulikana nasi hatuoni shida! Hivi katuloga nani?
Unaacha shughuli zako kabisa na kwenda kuunga foleni🚮🚮 Mimi kama Prof. Assad tu, kama tumeshindwa kupigania mifumo huru na thabiti sioni haja ya kupoteza muda wangu kwenye mafoleni.