Muunganiko wa Braza K, Babu mkombe na Kingwendu

sizani hatakama wanaweza standUp comedy hao
 
Kingwendu hapana,mi nahisi anafosi ucheke ila si mchekeshaji mzuri

Kuna hawa waliochipukia kama ramsoleen dah huyu jamaa ni shida

Huyo Ramsoleen ni yupi huyo na huwa anaoneka channel gani?
 
Kingwendu hapana,mi nahisi anafosi ucheke ila si mchekeshaji mzuri

Kuna hawa waliochipukia kama ramsoleen dah huyu jamaa ni shida
Hata mm kingwendu simuelew kbs hachekeshi kbs
 
Wachekeshaji hapa nchini kwangu mimi ni wawili tu Ringo na Mack wengine hao hata achekeshe amevua nguo nitamwona kama hana akili, mmoja wapo ni mzee majuto mimi simwelewi na sitamwelewa
ha ha ha!!! majuto kawashika akina mama huko mitaaani
 
Mie nasubiri matukio ya kisiasa nicheke watu tunavyojitoa akili hao futuhi ndo siwaelewi kabisa kama Ze komed wa EATV nao giza tuu
 
Babu mkombe
wakulichombe,
mpenda pombe,
Kwa kikombe,
ukinikuta baa mbele ya wapambe,
usiniombe pombe......

[emoji23] alipotelea wapi sijui huyu mzee
mara ya mwisho nilimuona kwenye tbc2 sasa sijui kama anaendelea mpaka leo
 
-Mboto
-Mkwere
-Majuto
-Sumaku wa mizengwe
-Masanja
-Joti

Hawa ndio wachekeshaji ambao kidogo wananichekesha wengine nawaona wendawazimu tu.
 
Aisee tafuta filamu moja yuko braza K na Mzee Majuto inaitwa Kirungu utacheka sana braza K ni Nouma
 
Babu mkombe
wakulichombe,
mpenda pombe,
Kwa kikombe,
ukinikuta baa mbele ya wapambe,
usiniombe pombe......

[emoji23] alipotelea wapi sijui huyu mzee
Yupo Radio Jembe FM Mwanza
 
Tinwhite na Ringo ndio combination bora kabisa kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…