Swizzy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 773
- 514
- Thread starter
- #21
sizani hatakama wanaweza standUp comedy haoNakuunga mkono mdau!Kukatana mtama na kukimbizana eti ndio komedi ya futuhi.Mshiriki yoyote wa hili kundi ufahamu wake wa komedi unaishia hapo kwenye kufukuzana na kupigana.
Mizengwe wao anafanya komedi ya kweli ingawa saa nyingine wanaingia kwenye upuuzi unaofanana na futuhi.