Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Kasheshe ni kamoja tena kadogo.Kasheshe.
Katiba mpya, katiba mpya ni Muhimu sana,tupaze sauti!Hamna kipindi ambacho tunagitaji uhuru kamili wa Tanganyika kama kipindi hiki.
Kwenye hiki kipindi, muungano na katiba vimekuwa vikitumika kudhalilisha utu na hadhi ya Watanganyika.
Mtu anatoka huko kwao, nchi nyingine kabisa, lakini anatumia katiba na kivuli cha muungano kuwatimua Wamaasai kutoka kwenye ardhi yao ya asili ili tu maeneo yao wapewe wageni.
Kwenye kipindi hiki ndio tunaona watu wa upande fulani wa muungano wakipewa upendeleo wa hali ya juu kuliko wa upande mwingine.
Hawa kwao huduma za afya na matibbau yote ni bure kabisa, hawalipii hata shilingi moja. Rasilimali za Tanganyika ndizo zinarumika kufadhili gharama hizo za afya.
Upande ule wa muungano, watoto wao wanapata mikopo ya masomo kuanzia ngazi ya cheti wakati upande mwingine wa muungano kupata mkopo ni kwa mbinde ile mbaya.
Issue ya umiliki wa ardhi ni janga jingine. Mtu anatoka kwao huko Micheweni, anakuja na kimemo cha mtu fulani hivi mwanamke, halafu serikali za vijiji vyetu zinalazimishwa zitoe ardhi yetu ya urithi kwa bwana wa Micheweni.
Imefka leo tunasema hatutaki katiba ya 1977, hatitaki CCM wala hatutaki muungano
Hitimisho....Hamna kipindi ambacho tunagitaji uhuru kamili wa Tanganyika kama kipindi hiki.

Moja ya mambo tunatakiwa tuyafanye kwa nguvu kubwa ni kupigania Utanganyika na UzanzibariHamna kipindi ambacho tunagitaji uhuru kamili wa Tanganyika kama kipindi hiki.
Kwenye hiki kipindi, muungano na katiba vimekuwa vikitumika kudhalilisha utu na hadhi ya Watanganyika.
Mtu anatoka huko kwao, nchi nyingine kabisa, lakini anatumia katiba na kivuli cha muungano kuwatimua Wamaasai kutoka kwenye ardhi yao ya asili ili tu maeneo yao wapewe wageni.
Kwenye kipindi hiki ndio tunaona watu wa upande fulani wa muungano wakipewa upendeleo wa hali ya juu kuliko wa upande mwingine.
Hawa kwao huduma za afya na matibbau yote ni bure kabisa, hawalipii hata shilingi moja. Rasilimali za Tanganyika ndizo zinarumika kufadhili gharama hizo za afya.
Upande ule wa muungano, watoto wao wanapata mikopo ya masomo kuanzia ngazi ya cheti wakati upande mwingine wa muungano kupata mkopo ni kwa mbinde ile mbaya.
Issue ya umiliki wa ardhi ni janga jingine. Mtu anatoka kwao huko Micheweni, anakuja na kimemo cha mtu fulani hivi mwanamke, halafu serikali za vijiji vyetu zinalazimishwa zitoe ardhi yetu ya urithi kwa bwana wa Micheweni.
Imefka leo tunasema hatutaki katiba ya 1977, hatitaki CCM wala hatutaki muungano
Halafu tuunge mkono SomalilandMoja ya mambo tunatakiwa tuyafanye kwa nguvu kubwa ni kupigania Utanganyika na Uzanzibari
Kwan hawa waliokuwa wanatunga katiba ya 1977 au waliandika kuwa hakuna kubadilishwa kwa nnwanaogopa sana hivi kweli mtu anaogopa yaaana hawa watch hawamuogopi hata MUNGU maaana wakisikia Katia pumzi inakataHitimisho....
1. Muungano uvunjike na hivyo kila nchi ijitegemee kuvyake.
2. Kwa kufanya hivi; ccm na katiba yake mbovu ya 1977, vyote kwa pamoja vitakufa kifo cha mende!Tanganyika huru itazaliwa, na wananchi watakuwa wazalendo wa kweli kwa nchi yao.
Kwa sasa ni vigumu kumkuta Mtanganyika mwenye akili timamu kuwa na uzalendo na nchi ya Tanzania iliyofungamana na Zanzibar ndani yake (huku hiyo Zanzibar wananchi wake wakiwa ni wazalendo zaidi kwa Zanzibar yao badala ya Tanzania yenye Tanganyika ndani yake).
Huu muungano ni wa kipuuzi (muungano wa changu changu, chako changu)! Uvunjike haraka iwezekanavyo ili kuinusuru Tanganyika na wananchi wake.
Duh 🙄 !Hamna kipindi ambacho tunagitaji uhuru kamili wa Tanganyika kama kipindi hiki.
Kwenye hiki kipindi, muungano na katiba vimekuwa vikitumika kudhalilisha utu na hadhi ya Watanganyika.
Mtu anatoka huko kwao, nchi nyingine kabisa, lakini anatumia katiba na kivuli cha muungano kuwatimua Wamaasai kutoka kwenye ardhi yao ya asili ili tu maeneo yao wapewe wageni.
Kwenye kipindi hiki ndio tunaona watu wa upande fulani wa muungano wakipewa upendeleo wa hali ya juu kuliko wa upande mwingine.
Hawa kwao huduma za afya na matibbau yote ni bure kabisa, hawalipii hata shilingi moja. Rasilimali za Tanganyika ndizo zinarumika kufadhili gharama hizo za afya.
Upande ule wa muungano, watoto wao wanapata mikopo ya masomo kuanzia ngazi ya cheti wakati upande mwingine wa muungano kupata mkopo ni kwa mbinde ile mbaya.
Issue ya umiliki wa ardhi ni janga jingine. Mtu anatoka kwao huko Micheweni, anakuja na kimemo cha mtu fulani hivi mwanamke, halafu serikali za vijiji vyetu zinalazimishwa zitoe ardhi yetu ya urithi kwa bwana wa Micheweni.
Imefka leo tunasema hatutaki katiba ya 1977, hatitaki CCM wala hatutaki muungano
UsiguneD
Duh 🙄 !