Muungano kama Muungano

Rais wa Zanzibar ni mvamizi aliyewekwa na Magufuli kawaleta wavamizi wenzake kutoka Tanganyika na kuwaweka kwenye mawizara na idara Za serikali
 
Muungano ni kitu kizuri sana hasa pale mnaoungana mna nia moja ya kuungana lakini mnapoungana halafu mmoja aone changu changu na cha kwako cha wote lazima kutakuwa na dosari.
Muungano wetu kwa kiasi kikubwa umeharibiwa na ccm. Nyerere alifikiri tukifika kipindi tutawaza kuwa nchi moja kumbe wengine wanahangaika na kero za muungano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…