Muungano: Simba atakuwa Bingwa kwa kucheza mechi 2 tu, hii nchi vituko haviishi

Ni Simba SC imetafutiwa faraja na sasa itakuwa bingwa wa Muungano kwa mashindano ya Mechi mbili tu

Ni Tanzania pekee 😂😂😂🔥
kwanza kabisa mimi siyo mshabiki wa timu yoyote zaidi ya Taifa Star. Ila wasimamizi wa mpira kwa sasa wanasikitisha mno. Simba alikuwa anamchezo mmoja nyuma ya Yanga na miwili nyuma ya Azam. Badala ya kuwezesha Simba wamalize viporo vya wao wameona timu zingine ziendelee la ligi na Simba waende Zanzibar.Nimesikitishwa sana na yaliyotokea juzi na jana maana mpira wa Yanga sikuona sababu ya mpira kuchezwa na hali ya mvua ila walilazimishwa jana kucheza na hali ya uwanja haikuwa sawa kabisa kucheza mpira.Ila wasiamamizi waliacha kwa hali ambayo ilikuwa shida kwa wachezaji kushindwa cheza kwa ufanisi zaidi.
 
Ndumbaro, MwanaFA na Karia wote ni Simba SC 😀
 
Afu kigezo Cha fmTff na bodi ya ligi "eti" Yanga hashiriki kwasababu ya ratiba ya viporo?, hivi Kati ya Simba na Yanga ambaye alipaswa kuendelea kucheza mechi za ligi ni nani?, Simba ana viporo 3 Kwanini asicheze viporo vyake?. Na hawalipati hilo kombe la mchongo.....
 
Mashabiki wa mpira wa bongo mna matatizo ya akili, mbona community shield bingwa anajulikana kwa mechi moja.
 
Ni Simba SC imetafutiwa faraja na sasa itakuwa bingwa wa Muungano kwa mashindano ya Mechi mbili tu

Ni Tanzania pekee 😂😂😂🔥
TFF waliwaita Yanga na kuwaomba wasndike barua ya kuomba kutoshiriki😂, ili Kombe liende kwa Simba. Azam wenyewe wameagizwa kuchezesha kikosi cha kujaribu wachezaji wasiopata namba siku wakikutana na Simba😂
 
Afu kigezo Cha fmTff na bodi ya ligi "eti" Yanga hashiriki kwasababu ya ratiba ya viporo?, hivi Kati ya Simba na Yanga ambaye alipaswa kuendelea kucheza mechi za ligi ni nani?, Simba ana viporo 3 Kwanini asicheze viporo vyake?. Na hawalipati hilo kombe la mchongo.....
Yanga wenyewe ndio waliokataa, TFF na bodi hawahusiki, acha mihemko
 
TFF waliwaita Yanga na kuwaomba wasndike barua ya kuomba kutoshiriki😂, ili Kombe liende kwa Simba. Azam wenyewe wameagizwa kuchezesha kikosi cha kujaribu wachezaji wasiopata namba siku wakikutana na Simba😂
Ukiwa shabiki wa soka la bongo ni lazima uwe na matatizo ya akili 🗑️
 
Back
Top Bottom