Muungano: Simba atakuwa Bingwa kwa kucheza mechi 2 tu, hii nchi vituko haviishi

Muungano: Simba atakuwa Bingwa kwa kucheza mechi 2 tu, hii nchi vituko haviishi

Mashabiki wa mpira wa bongo mna matatizo ya akili, mbona community shield bingwa anajulikana kwa mechi moja.
Ni wewe tu ndio huna akili unashidwa kutofautisha kati ya winner na champion
 
Kombe la vilabu duniani, Man City alicheza mechi ngapi? Nawenzie walcheza mechi ngapi?
 
kwanza kabisa mimi siyo mshabiki wa timu yoyote zaidi ya Taifa Star. Ila wasimamizi wa mpira kwa sasa wanasikitisha mno. Simba alikuwa anamchezo mmoja nyuma ya Yanga na miwili nyuma ya Azam. Badala ya kuwezesha Simba wamalize viporo vya wao wameona timu zingine ziendelee la ligi na Simba waende Zanzibar.Nimesikitishwa sana na yaliyotokea juzi na jana maana mpira wa Yanga sikuona sababu ya mpira kuchezwa na hali ya mvua ila walilazimishwa jana kucheza na hali ya uwanja haikuwa sawa kabisa kucheza mpira.Ila wasiamamizi waliacha kwa hali ambayo ilikuwa shida kwa wachezaji kushindwa cheza kwa ufanisi zaidi.
Ni ngumu sana kuendesha team tz hapa ni genge la watu wanakaa na kuamua hiki kiwe vile na kile kiwe hivi
 
Mwaka wa dezo kwa Simba,walianza kupewa ngao wamefatia na la muungano
 
Back
Top Bottom