Muungano: Simba atakuwa Bingwa kwa kucheza mechi 2 tu, hii nchi vituko haviishi

Mashabiki wa mpira wa bongo mna matatizo ya akili, mbona community shield bingwa anajulikana kwa mechi moja.
Ni wewe tu ndio huna akili unashidwa kutofautisha kati ya winner na champion
 
Kombe la vilabu duniani, Man City alicheza mechi ngapi? Nawenzie walcheza mechi ngapi?
 
Ni ngumu sana kuendesha team tz hapa ni genge la watu wanakaa na kuamua hiki kiwe vile na kile kiwe hivi
 
Mwaka wa dezo kwa Simba,walianza kupewa ngao wamefatia na la muungano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…