Mwamba Usemao Kweli
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 744
- 186
Kuia Dar shurti upite uhamiaji. Wenye ajira Bara watarudishwa Zanzibar wakaanze maisha mapya. Sijui ila naamini wataikumbuka Tanzania na hawatoipata tena.
Mbona pumba nyingi wengine kama walevi!
ndio nasema watanganyika masikini tuliowengi ni hatujaelimika ingawa tumesoma
Hebu someni kwanza au ulizeni mfahamu zaidi msikremu mashuleni
Nani aliyewaambia kwamba muungano ukivunjika waznzbari wenye kazi bara watarudi kwao? Upumbavu ulioje kwa sisi watanganyika.! Shame on us tunaoushikilia muungano kisha sisi tunajiona bora. Shame on us once again
Basi duniani kote kusiwe na wafanyakazi kutoka nchi zilizokua si zao, we tanganyikan are street children of our mind and also ignorant to want we do not know and proud ourselves that we know
Ukiwa street guy usichangie unatuaobisha watanganyika kutufanya taifa lililokua mbumbumbu
tuwakumbukeni kwa lipi la mana, hamna kimpja cha mana zaid ya hasara na kuturudisha nyuma, tuwakumbukeni kw kutuletea ujambazi? vibaka? wamachinga? makanisa? makahaba? mabaa? au wazururaji?
kubwa tutachokikosa kutoka kwenu ni mahouse girl coz itabd tuanze utaratibu wa kuwapata ambao utakua complicated
na house girl wetu tulienae hatumrudish kwanz mwnyew hataki kurud kwao tanganyika tumemsilimisha saiv ameshakua mwenzetu
Imekuuma sana wazanzibari kuchukua nchi yao, pole!Kwa mzanzibari wa kawaida bdo anaihitaji sana TANZANIA inayotokana na MUUNGANO WA ZANZIBAR NA TANGANYIKA. Kwao hawajui habari za wanasiasa na masuala ya utawala.
Ila kwa viongozi wao ndo ambao wameshindwa kuongoza na ndo wanao idai na kuitaka zanzibar yao yenye mamlaka kamili.
Ushauri wangu kwao wote ni kuwa TANZANIA INAENDA ZAKE MTAIKUMBUKA SANA NA HAITORUDI TENA NG"OOOO.
Mbona pumba nyingi wengine kama walevi!
ndio nasema watanganyika masikini tuliowengi ni hatujaelimika ingawa tumesoma
Hebu someni kwanza au ulizeni mfahamu zaidi msikremu mashuleni
Nani aliyewaambia kwamba muungano ukivunjika waznzbari wenye kazi bara watarudi kwao? Upumbavu ulioje kwa sisi watanganyika.! Shame on us tunaoushikilia muungano kisha sisi tunajiona bora. Shame on us once again
Basi duniani kote kusiwe na wafanyakazi kutoka nchi zilizokua si zao, we tanganyikan are street children of our mind and also ignorant to want we do not know and proud ourselves that we know
Ukiwa street guy usichangie unatuaobisha watanganyika kutufanya taifa lililokua mbumbumbu
Hivi hamuoni haya watanganyika bonge la nchi bado mnaiwaza nchi ndogo ya watu 1.5mill?hivi mnapata faida gani kuikaba koo wakati kuna manchi makubwa ya kuungana nayo?c muende mkaungane kenya?free z'br from black colon.
Hata utoke povu lazima mrudi kwenu
Umegonga point.Mbona pumba nyingi wengine kama walevi! ndio nasema watanganyika masikini tuliowengi ni hatujaelimika ingawa tumesoma Hebu someni kwanza au ulizeni mfahamu zaidi msikremu mashuleni Nani aliyewaambia kwamba muungano ukivunjika waznzbari wenye kazi bara watarudi kwao? Upumbavu ulioje kwa sisi watanganyika.! Shame on us tunaoushikilia muungano kisha sisi tunajiona bora. Shame on us once again Basi duniani kote kusiwe na wafanyakazi kutoka nchi zilizokua si zao, we tanganyikan are street children of our mind and also ignorant to want we do not know and proud ourselves that we know Ukiwa street guy usichangie unatuaobisha watanganyika kutufanya taifa lililokua mbumbumbu