Maisha hupangi wewe hakuna anaejua ya mbele la zaidi kama kweli tunapendana ni kuombeana kheri sote sio kutofautiana kisa siasa tuacheni hayo tuomben amani tu
Hakuna jipya wala haiogopeshi.tangu kuumbwa hakuna talaka inayoombwa bila kuweko walau lugha chafu......kebehi.....kejeli......laana.....kubeza na kadhalika!hii ni kama therapy flani for treating frustration.