Mandela5599
Member
- Jul 28, 2020
- 93
- 306
Kwamba Zanzibar inawatu milioni moja na nusu, inawabunge 80 kwenye bunge la jamhuri ya muungano, wanalipwa posho na stahiki zote sawa na mbunge mwingine yoyote
Mkoa wa Tanga unawatu milioni 2 na laiki mbili,kwa idadi ya watu Tanga inawazidi Zanzibar kwa zaidi ya watu milioni moja. Tanga ina wabunge 15, kati yao wakuchaguliwa nu 13 na 2 wa viti maalumu
Zanzibar ina Rais wake, Tanganyika haina
Wana bunge lao, Tanganyika haina
Mtu wao anaweza kuwa Rais huku Tanganyika lakini haitakaa itokee mtanganyika akaitawalaZanzibar
Tanganyika inapitia wakati mgumu sana