Wabunge wakafanye Nini Baraza la wawakilishi? Wawakilishi watano huchaguliwa kutoka Baraza la wawakilishi kuwakilisha ZNZ katika masuala ya muungano na maslahi ya ZNZ. Hao wabunge kutoka Tanganyika wanaenda kuwakilisha Nini ZNZ.Ni Muda sasa wabunge toka baraza la wawakilishi huwa pia na fursa ya kuingia Bunge la Muungano.
Sio vibaya kama wabunge toka bara baadhi yao nao wakiwa wanahudhuria vikao vya baraza la wawakilishi.
Uwekwe utaratibu maalum ambao utawafanya wabunge hao kushiriki vikao bila kuathiri maamuzi ya ndani ya Zanzibar.
Wabunge 50 wanaingia bungeni kutoka Zanzibar. Hivi hawatoshi kuiwakilisha Zanzibar hadi waongezwe watano kutoka Baraza la wawakilishi?Wabunge wakafanye Nini Baraza la wawakilishi? Wawakilishi watano huchaguliwa kutoka Baraza la wawakilishi kuwakilisha ZNZ katika masuala ya muungano na maslahi ya ZNZ. Hao wabunge kutoka Tanganyika wanaenda kuwakilisha Nini ZNZ.
Wanakwenda kuwa wawakilishi wa Tanganyika huko visiwani.Wabunge wakafanye Nini Baraza la wawakilishi? Wawakilishi watano huchaguliwa kutoka Baraza la wawakilishi kuwakilisha ZNZ katika masuala ya muungano na maslahi ya ZNZ. Hao wabunge kutoka Tanganyika wanaenda kuwakilisha Nini ZNZ.
Hao 50 wanaenda kuwakilisha majimbo yao binafsi , 5 huteuliwa kwenda kuwakilisha ZNZ katika masuala ya muungano.Wabunge 50 wanaingia bungeni kutoka Zanzibar. Hivi hawatoshi kuiwakilisha Zanzibar hadi waongezwe watano kutoka Baraza la wawakilishi?
Wabunge kutoka ZNZ wanawakilisha ZNZ Kwa sababu znz ni sehemu ya Tanzania , hao wabunge wa Tanganyika wanakwenda kuwakilisha Nini wakati wao sio wazanzibari? Baraza la wawakilishi hujadili mambo ya znz tu ambayo Tanganyika haihusiki. Nadhani ni muda sasa Tanganyika wajitafute.Wanakwenda kuwa wawakilishi wa Tanganyika huko visiwani.
Muungano wa ******* sanaTangu lini muungano wa changu changu, chako changu ukawa na usawa!
Na nyinyi mnafata nini huku?Wabunge wakafanye Nini Baraza la wawakilishi? Wawakilishi watano huchaguliwa kutoka Baraza la wawakilishi kuwakilisha ZNZ katika masuala ya muungano na maslahi ya ZNZ. Hao wabunge kutoka Tanganyika wanaenda kuwakilisha Nini ZNZ.
Muda wa kunyamaza/kufunika kombe, umepita! Tulipendekeza muungano wa serikali 3 kwenye Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba! Wahafidhina ndani ya ccm wakaleta figisu zao!Huu Muungano wetu, ukiufikiria vizuri kuna vitu unatakiwa uviache tu kama vile unasoma biblia na kuamini kuwa kila kitu kipo sawa.....
Tunalinda haki zetu katika muungano kama Watanzania.Na nyinyi mnafata nini huku?
Wanakuwa watazamaji tu bila kuathiri mambo ya Zanzibar.Wabunge kutoka ZNZ wanawakilisha ZNZ Kwa sababu znz ni sehemu ya Tanzania , hao wabunge wa Tanganyika wanakwenda kuwakilisha Nini wakati wao sio wazanzibari? Baraza la wawakilishi hujadili mambo ya znz tu ambayo Tanganyika haihusiki. Nadhani ni muda sasa Tanganyika wajitafute.