malisoka
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,860
- 2,636
Wakuu,
Kwa ujumla mimi napenda umoja upendo na mshikamano lakini kwa hawa ndugu zetu wa Zanzibar tunawalazimisha kuungana na sisi bara kwa sababu ya visa hivi vya mauaji na kujeruhi watu kwa sababu zisizo na msingi.
Sikilizeni hawa wazanzibari ni kama vile mwanamke akitaka kuachika na huyo mume hataki kabisa kumuacha visa vinakuwa kama hivi tutasikia mengi na kuhuzunisha zaidi ya haya tunayoyasikia. Sikio la kufa halisikii dawa la msingi ni kuvunja muungano kama bado upo potelea mbali hata kama kutakuwa na madhara inabidi kuonyesha na kuheshimu maamuzi na mawazo yao.
Zanzibar kwetu sisi bara haina faida yeyote. Huku bara sisi tunawaheshimu sana tunawapa viwanja wanafanya biashara ni marafiki zetu wakubwa tunahesimu sana dini zetu, lakini kwanini wao hawatuheshimu? Wanatua na kutumwagia tindikali, hili sasa halivumiliki.
Tuwaache wakae na zanzibar yao na huku bara hatutaki kuona mpemba wala muunguja wala sijui nani wote wazanzibari warudi kwao na wafunge biashara zao wakafanye huko huko kwao. Unajua kwa nini watu wanauawa kule wanamwagiwa tindikali hakuna hatua zinazochukuliwa yanaishia hivi hivi.
Umewahi kusikia maisha ya wabara yalivyokuwa na wasiwasi? Unajua inafanana na ile south africa kuwafukuza wahamiaji waliokuwa wakifanya kazi kule. Maisha ya wenzetu zanzibar ni taabu wasiwasi na shida, hawatembei usiku hawana uhuru kabisa.
Samahani najua, najua kabisa wengi watanichukia, lakini hawa wenzetu hawatutaki na wanaonyesha kwa vitendo sasa kwamba hwataki, mtawalazimisha?