andrew tezie
Member
- Jan 25, 2014
- 13
- 2
Ikiwa Chama tawala hakikubaliani na muundo wa serikali tatu na kuilaumu waziwazi tume chini ya mwenyekiti wake sidhani huko tuendeko kama tuatapata katiba mpya kwa amani.Hivyo nawasihi wadau wote kumaliza kwanza huu mvutano ambao tayari umejitokeza.Ukumbukwe kwamba maoni yaliyopatikana sio ya tume ni ya wananchi.Tutafakari mapema na kuchukua hatua muda bado ungalipo