Muungano wa serikali tatu

Muungano wa serikali tatu

andrew tezie

Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
13
Reaction score
2
Ikiwa Chama tawala hakikubaliani na muundo wa serikali tatu na kuilaumu waziwazi tume chini ya mwenyekiti wake sidhani huko tuendeko kama tuatapata katiba mpya kwa amani.Hivyo nawasihi wadau wote kumaliza kwanza huu mvutano ambao tayari umejitokeza.Ukumbukwe kwamba maoni yaliyopatikana sio ya tume ni ya wananchi.Tutafakari mapema na kuchukua hatua muda bado ungalipo
 
Mimi naona ni muungano WA serikali mbili (SMZ na Tanganyika-mfu) kupata JMT..
Kwa hiyo, wa-Tanganyika watakuwa wanahudumia serikali mbili (ya JMT na ile ya Tanganyika) na wa-Zenj wataihudumia SMZ na JMT!
Kimsingi, na kwa maoni yangu, serikali zinazohudumiwa na washirika WA Muungano, ni mbili na siyo tatu!
 
Katiba ni zaidi ya muungano wa serikali 2 au 3 kuna mambo mengi ya kujadili hasa kuhusu suala la rasilimali za nchi
 
Me nazani tulisha ungana tayari kilicho Baki sasa hivi nikuwa na nnchi moja raisi mmoja na serikali Moja ya Tanzania..haya mambo ya serikali Tatu me naona hayana msingi kama tuna taka kuiunganisha afrika mashariki kwa kuwa na serikali ya shirikisho nazani ni busara kwanza kuifanya Tanzania ikawa Moja.
 
sasa wewe unataka serikali tatu au nne?

Back
Top Bottom