Ukweli diyo huo.Wadau naomba niseme kitu ila nikikosea mnirekebishe msinitukane.NCHI ya TANGANYIKA ina Ardhi na Watu wake vivyo hivyo na NCHI ya ZANZIBAR.
Mwaka 1964 NCHI hizi mbili ziliungana na Kuzaliwa NCHI ya 3 ambayo ni TANZANIA. Binafsi niliamini MUUNGANO ule Ungezaa NCHI MOJA ambayo ni JAMHURI ya MUUNGANO TANZANIA badala yake kukawa na NCHI ya ZANZIBAR na NCHI ya TANZANIA lakini NCHI ya TANGANYIKA haipo tena. Na hii NCHI ya TANZANIA ipo ktk ARDHI ya NCHI ya TANGANIKA na Watu wa TANGANYIKA
Je, nikisema MUUNGANO Ule ulikuwa KULIBADILI jina la TANGANYIKA kuwa TANZANIA nitakuwa NIMEKOSEA?
Naomba Michango yenu.
Huu muungano siku nikiwa rais naufutia mbaliWadau naomba niseme kitu ila nikikosea mnirekebishe msinitukane.NCHI ya TANGANYIKA ina Ardhi na Watu wake vivyo hivyo na NCHI ya ZANZIBAR.
Mwaka 1964 NCHI hizi mbili ziliungana na Kuzaliwa NCHI ya 3 ambayo ni TANZANIA. Binafsi niliamini MUUNGANO ule Ungezaa NCHI MOJA ambayo ni JAMHURI ya MUUNGANO TANZANIA badala yake kukawa na NCHI ya ZANZIBAR na NCHI ya TANZANIA lakini NCHI ya TANGANYIKA haipo tena. Na hii NCHI ya TANZANIA ipo ktk ARDHI ya NCHI ya TANGANIKA na Watu wa TANGANYIKA
Je, nikisema MUUNGANO Ule ulikuwa KULIBADILI jina la TANGANYIKA kuwa TANZANIA nitakuwa NIMEKOSEA?
Naomba Michango yenu.
Hapana Muungano ule ulikuwa ni kuziunganisha nchi mbili kwa kushirikiana baadhi ya mambo ila sijaelewa kwann Wazanzibari wanapewa uongozi huku kwetu Tanganyika lakini hakuna Mtanganyika anayepewa uongozi wa juu kule ZanzibarWadau naomba niseme kitu ila nikikosea mnirekebishe msinitukane.NCHI ya TANGANYIKA ina Ardhi na Watu wake vivyo hivyo na NCHI ya ZANZIBAR.
Mwaka 1964 NCHI hizi mbili ziliungana na Kuzaliwa NCHI ya 3 ambayo ni TANZANIA. Binafsi niliamini MUUNGANO ule Ungezaa NCHI MOJA ambayo ni JAMHURI ya MUUNGANO TANZANIA badala yake kukawa na NCHI ya ZANZIBAR na NCHI ya TANZANIA lakini NCHI ya TANGANYIKA haipo tena. Na hii NCHI ya TANZANIA ipo ktk ARDHI ya NCHI ya TANGANIKA na Watu wa TANGANYIKA
Je, nikisema MUUNGANO Ule ulikuwa KULIBADILI jina la TANGANYIKA kuwa TANZANIA nitakuwa NIMEKOSEA?
Naomba Michango yenu.
Umezaliwa mwaka gani mkuu,???
Fact. Sisi n watanganyika ili Hali Tanzania n kwa ajili ya Manufaa ya CCM NA sio vinginevyo.Mada ya moto sana hii ndugu yangu, achana nayo
Technically uko sahihi.Wadau naomba niseme kitu ila nikikosea mnirekebishe msinitukane.NCHI ya TANGANYIKA ina Ardhi na Watu wake vivyo hivyo na NCHI ya ZANZIBAR.
Mwaka 1964 NCHI hizi mbili ziliungana na Kuzaliwa NCHI ya 3 ambayo ni TANZANIA. Binafsi niliamini MUUNGANO ule Ungezaa NCHI MOJA ambayo ni JAMHURI ya MUUNGANO TANZANIA badala yake kukawa na NCHI ya ZANZIBAR na NCHI ya TANZANIA lakini NCHI ya TANGANYIKA haipo tena. Na hii NCHI ya TANZANIA ipo ktk ARDHI ya NCHI ya TANGANIKA na Watu wa TANGANYIKA
Je, nikisema MUUNGANO Ule ulikuwa KULIBADILI jina la TANGANYIKA kuwa TANZANIA nitakuwa NIMEKOSEA?
Naomba Michango yenu.
Ukweli mchungu aliye iua Tanganyika ni NyerereMUUNGANO wa KUUA NCHI MOJA muungano gani huo? Kwanini Nchi ya TANGANYIKA IFE na Sio ZANZIBAR? Kama ni kuua NCHI zilitakiwa Nchi zilizoungana ZIFE ibaki TANZANIA
Muungano upo kwa ajili ya ccm na familia zao na siyo Watanzania.Fact. Sisi n watanganyika ili Hali Tanzania n kwa ajili ya Manufaa ya CCM NA sio vinginevyo.
Kesho ndio kesho...lazima yule mzenji ang'olewe, Tanganyika ibaki mikinoni mwa watanganyikaWatanzania ni huku ila Tanzania visiwani wao wanajiita Wazanzibari,Sasa basi Watanzania oneni fahari kujiita Watanganyika kama Tanzania visiwani wanavyoona fahari kujiita Wazanzibari.