Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye njozi za usiku wa manane

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye njozi za usiku wa manane

Nyamemba

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
845
Reaction score
447
Nimelala nimeota wazanzibari wameanza kudai kujitenga baada ya Mama kuondoka madarakani na Mzee Smile amegeuziwa kibao na wadanganyika kuwa yeye ndiye ameifikisha Tanzagiza hapa ilipofikia ( nchi muflisi) aliyesuka mipango ya Mama lao kuingia kwenye usukani.

Nimeota Chama cha Mapinduzi (CCM ) kinapata wakati mgumu mbele ya wadanganyika na wanapata wakati mgumu kujibu hoja za:-

1. Madeni makubwa ya Tanzagiza
2. Kifo cha Mwendazake na Mzee wa Lupaso
3. Utoroshwaji wa rasilimali za Taifa kwenda Arabuni.
 
Hii ndoto ulioota umelala ilikua mchana au usiku? tuanzie hapo
Mana ndoto za usiku zina tsfsiri yake tofauti na mchana
 
Hakuna mtanganyika anaehitaji huo Muungano kwa sasa. Wauvunje tu
Ukizingatia watu wenyewe tulio ungana nao ni wapumbavuu kuanzia utosini hadi makalio .....mimi binafsi sijawai kukutana na mzanzibari asiye mpumbavu ....ukitaka kujua jamaa ni wapumbavu wape nafasi ya kuzungumza.....cheki hata huyu chifu kichwani kajaza mnyaa tupu anadai katatua kero za muungano wakati hakuna kitu chochote kafanya zaidi ya kuharibu zaidi
 
Nimelala nimeota wazanzibari wameanza kudai kujitenga baada ya Mama kuondoka madarakani na Mzee Smile amegeuziwa kibao na wadanganyika kuwa yeye ndiye ameifikisha Tanzagiza hapa ilipofikia ( nchi muflisi) aliyesuka mipango ya Mama lao kuingia kwenye usukani.

Nimeota Chama cha Mapinduzi (CCM ) kinapata wakati mgumu mbele ya wadanganyika na wanapata wakati mgumu kujibu hoja za:-

1. Madeni makubwa ya Tanzagiza
2. Kifo cha Mwendazake na Mzee wa Lupaso
3. Utoroshwaji wa rasilimali za Taifa kwenda Arabuni.
Muungano umeshikiliwa na kiuzi kimoja chembamba sana
 
Nimelala nimeota wazanzibari wameanza kudai kujitenga baada ya Mama kuondoka madarakani na Mzee Smile amegeuziwa kibao na wadanganyika kuwa yeye ndiye ameifikisha Tanzagiza hapa ilipofikia ( nchi muflisi) aliyesuka mipango ya Mama lao kuingia kwenye usukani.

Nimeota Chama cha Mapinduzi (CCM ) kinapata wakati mgumu mbele ya wadanganyika na wanapata wakati mgumu kujibu hoja za:-

1. Madeni makubwa ya Tanzagiza
2. Kifo cha Mwendazake na Mzee wa Lupaso
3. Utoroshwaji wa rasilimali za Taifa kwenda Arabuni.
Hii ni kweli tupu
 
Naunga mkono Zanzibar kujitenga na kuwa huru na Tanganyika kuwa huru
 
Kuna ukweli tunatotakiwa kuufafanua na kama ni kero irekebishwe kama kweli tunafikiri muungano huu ni wa muhimu.

1. Wazanzibar wengi sana wanamiliki ardhi na majengo bara, kama raia. ila Wabara wanachukiwa wakienda kule, wanaitwa chogo, na katiba yao inazuia watu wa bara kumiliki ardhi. Juzi nilikuwa Dodoma, kwenda benjamin Mkapa kwenye kona ya Udom, kuna migorofa fulani hivi imejengwa, wanasema karibu na vile vijengo vya majaji, wengine wanamtaja mzanzibari fulani anamiliki hiyo migorofa. tukisema wazanzibar leo hii muungano umevunjika waondoke, wengi wataanza kuuza nyumba nyingi na ardhi kubwa wanayoimiliki. KWANINI BARA HATURUHUSIWI KUMILIKI KULE? faida yao ni nini?

2. kwenye ajira, hii ni kero, wazanzibar maelfu na maelfu wameajiriwa bara, hata kwenye mambo yasiyo ya muungano, wameajiriwa bara ambayo kiukweli ipo bara kwasababu zanzibar kuna utawala wao, lakini wabara hawaruhusiwi kabisa kuajiriwa zanzibaar, hii ni kero, inatakiwa iondolewe, ama la kila mtu abaki kwake.

3. wazanzibar wanakuwa wabunge kule kwao, na huku. akiwa mbunge kule kwao, atakula masurufu ya kule na atakuja kula masurufu ya bara kwa kodi za watu wa bara. tuambieni, yale mipesa wanaku wabunge 50 wa zanzibar wanakiula, zanzibar huwa imechangia bei gani? ni pesa za walipa kodi wa bara. na hao hao wakifika huku wakishiba, wanasenma twende kule kwa passport, kwa msiojua, kile ameongea yule mbunge wa zanzibar kwamba wabara twende kwa passport kwao ndicho kilichopo kwenye mioyo ya wazanzibari wote hata wenye mamlaka huku na hata walioajiriwa huku na hata wanaomiliki ardhi huku, amesema kilichopo kwenye mioyo ya wengi. wala hatakiwi kulaumiwa. kwa waliofika zanzibar wanajua kuwa hicho ndio huwa matamanio yao.

4. mzanzibar anaweza kuwa Mkuu wa wilaya, mkoa, na waziri bara, ila sisi kule marufuku. kwanini?

nimeongea hayo kwa uchache tu, lakini ukweli mwingi hata wanaopinga wanaujua, kama tunataka muungano uwepo, ondoeni kero hizi kwa watu wa bara, ama la, kila mtu achukue hamsini zake kwasababu hakuna kitu wabara wanafaidika nacho as of now. na hawajawahi kufaidika. watu wasioelewa watasema huu ni uchochezi, ila jibuni kwa hoja kama mnazo.
 
Back
Top Bottom