Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na somo la Wamongol kuwatawala wachina na baadae wao kutawaliwa mpaka leo.
Pale ambapo jamii moja ya watu hufurahia kuwatawala jamii nyingine ya watu kikoloni katika eneo lao kwa tafsiri ya Muungano jamii tawaliwa pale itakapo twaa madaraka maumivu ya kutawaliwa huwafikia pia ile jamii iliyotawala awali.
Wamongol waliivamia China miaka ya kale chini ya Kublai khan katika historia ya China ilikuwa kwa mara ya kwanza jamii nje ya wachina kuwatawala wachina haikuwa rahisi kwa wa Mongol kuwatawala wachina hivyo iliwaradhimu wao kiasi kikubwa kubadili tamaduni zao na kufuata mtindo mpya wa maisha ilikuweza kuitawala China yote vyema.
Wamongol katika kuitawala China wakaiunganisha China na eneo lao la Mongolia ili wawe na empire kubwa hili lilikuwa kosa la kwanza kubwa wao kufanya.
Siku zikaenda miaka ikasonga falme ya kimongol ikaangushwa na wachina wakarudi kuitawala China yao ambayo ikawa na eneo kubwa zaidi jamii ya Wamongol nayo ikawa tawaliwa muda mrefu.
katika wakati China ikaingia katika vita vingi hivyo Wamongol wakaona ni muda sahihi wao kusaka uhuru kutoka China kwa makosa waliofanya babu zao waliambulia kupata baadhi ya maeneo yao kwa msaada wa warusi huku maeneo mengine yakibaki uchina zishukuriwe vita zilizokuwa zimetapakaa China maana zilikuwa msaada kwao hata kupata chochote kitu bila hivyo mpaka leo wangeendelea kuwa katika miliki ya Uchina.
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na somo la Wamongol[ Watanganyika] kuwatawala Wazanzibar kwa koti la Tanzania ambalo linaanza kuwabana sasa Watanganyika wao wenyewe baada ya Mzanzibari kutwaa madaraka maana hii haikuzoeleka sasa maumuzi ya kutawaliwa kwa kiasi wanaanza kuyahisi mpaka mwamko wa kudai nchi yao umeanza ndani yao.
Yote haya ni matokeo ya taifa moja kulitawala taifa lingine kwa koti la muungano kama wa Mongol kwa wachina mwisho huwa ni maumivu.
Si ajabu miaka ijayo Tanganyika& Watanganyika kuanza kudai maeneo yao yaliyo potea.