Mkuu mwenzetu shukurani sana kwa uelewa wako wa siasa za Zanzibar lakini kwa hili naona hujalipatia.

Issue iliopo sasa hauhusu maisha ya kisiasa ya mtu mmoja yaani Shamuhuna bali ni issue inayoikabili CCM yote Zanzibar. Aidha elewa kuwa CCM wanajidanganya kumuweka Bilali kwenye nafasi ya Urais kwani kitendo chake cha kujiunga na upande wa Bara dhidi ya kuitambua Zanzibar kama nchi hakivumiliki kwa Wazanzibari wote bila kujali itikadi zao.

Mkuu elewa kuwa hii issue ya kutotambuliwa inamuumiza kichwa hata Amani mwenyewe kwani ili ubaki kwenye madaraka basi Wazanzibari wajue kuwa wana nchi yao kama Zanzibar.

Baada ya hapo turudi kwa Mwakyembe, yeyote mwenye kutowa kauli ya kutoitambuwa Zanzibar atakuwa anajitia kwenye makinzano na Wazanzibari kwani kwao wao katiba au nguvu Zanzibar ni nchi na imo kwenye Muungano kama nchi kwani haijapata kuuzwa bali iliungana. Inaafaa kueleweka kuwa Wazanzibari wanataka Muungano wa kuheshimiana na sio upande mmoja ujione kuwa una mamlaka yote kwa Zanzibari na hivyo watasshughulikiwa watu kama Mwakyembe kama Mwakyembe kwani imani ni kuwa Watanzania wanaelewa kuwa Zanzibar ni nchi katika Muungano wa nchi na sio mikoa au wilaya.
 

Napenda kuleta KESI kwa wanaukumbi wa JF kuwa Lazarosmtindi ananizushia uongo wenye lengo la kuleta uchochezi dhidi yangu. Ananituhumu Udini naomba atowe ushahidi wa hilo bali nahisi labda yeye mtizamo wake unajengwa na misingi hiyo.

Ametuorodhesha kwa Majina yetu na kwa bahati sisi tumekuwa tukitowa maoni yetu kwa hoja na wala hatutumii jazba na kushutumiana. Ni busara awe akijibu hoja kwa hoja na anaposhindwa na abaki na mtizamo wake. Maendeleo yanaletwa kwa kuboresha kilichokwisha fanywa na yeye kama ana hoja thabiti za kuonyesha kuwa sisi hoja zetu ni dhaifu na afanye hivyo.

Kuhusu uelewa nafikiri yeye ndie si muelewa bali ni mbururwaji tu. Kuthibitisha hivyo na asome Majibu ya Serikali ya Mapinduzi kwa Harris Mwakwembe na ataona vipi nilivyokuwa sahihi na kukurupuka kwa Harris Mwakyembe.
NENO LA BUSARA: Penye tofauti yavitu iwe nchi, dini, kabila, jinsia au kitu chengine hakuachi kuwepo kwa tofauti na tunatakiwa tuishi na tofauti zetu.
 
Bora umewatolea uvivu mjomba. Hawa Waislamu wa Visiwani bwana vichwa ngumu kweli. Haya ndiyo matatizo ya elimu za madrasah na jadi ya kuhusudu Wamanga.

There you are na kama nitaonekana mjinga sawa lakini sikubali kuwa kama wewe. Hutonipata kwa dini kwani wajinga mko dini zote na werevu tuko dini zote.
 
Sema sema sema !!!!! kaka usiposema tutajuaje ulivyo, tutathibitishaje kuwa hata watu wa dini fulani wakiwa wasomi bado elimu haiwasaidii!!!! sema kaka ili uwe wa mfano humu JF wote tukiwa na akili walimu na viongozi watapatikana vipi??

Sifikiri kuwadini inadetermine akili ya kutambuwa lakini nahisi dini inaweza ikawafanya watu kama nyinyi kutowa maoni kwa kufuata dini. Kama Mwiba ni Muislamu nafikiri kati ya anaowashambulia ni Waislamu wengine. Tuweke dini mbali kwani wewe umeshaeleza mtazamo wako kwa wenzio hujui kwao wao wewe ni kama nani wanavyokuchukulia. Tuangalie hoja na sio dini ya mtu.
 

Sawa na tunavyopiga kelele za mafisadi huku wakizidi kutanua kwa vijisenti na kusaini mikataba mengine yaufisadi. Jee kwanini hatuachi kupoteza muda kwa hayo wakati ndugu zetu Maalbino wanauliwa.Makabila yanauwana, majambazi wanauwa,vivuko vyote vibovu, wastaafu wanashinda Ikulu. mazao yanaozea mashambani na mambo mengi kadhaa. Tuache Double Standard, kuzungumzia suala la wananchi wa ZNZ ni kupoteza wakati lakini kuropoka kwa Vifo vya Kina Wangwe na Amina Chifupa si kupoteza wakati?
 

Tuwape haki yao Wazanzibari. Nafikiri Wazanzibari wanataka huo Muungano unaoueleza wew yaani muungano wa maendeleo kwa wote na ndio maana wanataka Serikali Tatu. Kwani hao wenzetu wanaoungana wanaunganisha nchi au vyombo vya kuleta maendeleo ya uchumi. Muungano wetu wa sasa hivi hautowi nafasi kwa Zanzibar kujiendeleza Kiuchumi.
 


I hope you submitted your post before you read what SMZ said on the issue of Mwakyembe otherwise........ I hope if you have not yet read that ,you will take effort to look for it and that will prove Mwiba and others are right. If after reading it you still have the same view as in this posting come back and ask for explanation where you are not enlightened.
 

Nafikiri kwa mwerevu angeelewa kuwa Pinda hana uhakika kwani asingesema kuwa Wanasheria walijadili hili. Unajua ni rahisi Mtanganyika kusema kuwa Katiba ya Muungano inasema hivi na ni rahisi pia kwa Mzanzibari kukwambia kuwa Katiba ya Zanzibar inasema hivi. Huu ni Muungano wa Kiini macho na kila kitu ni kiini macho na ndio maana watu wanapobanwa wanasema acheni kulijadili. Kitu kilicho wazi kinazuia nini mjadala au kulazimisha kuwa fulani ni mkubwa na hivyo asipingwe?
 

Wildcat nategemea ni mkubwa wa umri wa kukumbuka jinsi Benjamin William Mkapa alivyoupata Urais1995. Kama hukumbuki aliupata kwa nguvu za Wazanzibari chini ya DR Salmini. Kwa hivyo unchi kama tutaupima kwa namna kiongozi fulani alipatikana vipi sijui itakuwa tafsiri gani kwa Tanzania wakati wa Mkapa. Bado sijaona hoja za kuifanya Zanzibar sio NCHI.
 
Zanzibar Governemnt has demanded an immediate APOLOGY from MP Harrison Mwakiyembe on his recent remarks on Zanzibar Government Cabinet Ministers which he made during last week session of Tanzanian Parliament.Official Government Statement was issued by the Minister of State CMO office zanzibar before Media.
 
Utawala wa Tanganyika ndani ya Tanzania ndio wanaoitesa Zanzibar yote yafanywayo na hao wapiga ving'ora yanapata baraka kutoka Bara ,chaguzi zote zilizoibwa zimekuwa masterminded na kulinda na wabara,Wabara wamekuwa ndumila kuwili [(Nakusudia CCM Mafisadi)samaki akioza mmoja],sasa mtafaruku uliotekea ni kuwa wabara imani imewatoka imewageukia wenzao wa CCM wahafidhina na hawa ndio wale waliotesa Butiama na kusema warudishiwe ASP CCM Butiama wakaondoka wameufyata ila sasa wamerudi na mikakati mipya ndio hii wanayopigania.
Hao wazazi ni wako peke yako ,maana siasa hizo za kusema hawa ni wazazi wetu,hawa ni viongozi wetu hawa ni waheshimiwa ndizo zinazowafanya wawe woga kutetea maslahi ya Taifa hili au Mataifa haya mawili ,ndizo zinazowafanya kuilinda haki ya raia ya Mataifa haya mawili ndio ...!
Nyerere akitumia unyerere wake na ujanja wake hakutegemea mawazo ya mtu pia hakusikiliza ushauri ni mtu ambae aliona anajitosheleza na maamuzi yake kwani wasomi kwake walikuwa amewawekea mipaka yao na hakuwaingilia ila pale kelele zinaposikika kutoka kwa wananchi akiweza kusimamia utekelezaji na kufuatilia na hakuwa na sumile na kiongozi anaelegalega ,lakini hawa akina Kikwete wao wanaongozwa na wasomi wa mlimani na wasomi nao wanajikomba kwa viongozi wa serikali ,usomi wao umekuwa butu hauna faida kwa Taifa hili ni wafuata upepo tu.
 

Habri ndiyo hiyo kaka,!! swala la double standard hapa halipo unaliweka wewe.Kuzumgumzia vifo vya hao watu katu hatupotezi muda tunataka haki itendeke.Swala la Zanzibar kama wangekuwa wananyimwa haki fulani tungepiga kelele pia.Ni haki gani wanayonyimwa Zanzibar? kutoitwa nchi?

Yaani mtu akiniita mimi mwanamke wakati mwanaume nianze kupiga panda na tarumbeta napita mtaani kulalamika, I would rather keep quiet, I will act,walk,talk, decide like a man;and all musculine characters.They will agree I am a man.

Kama Zanzibar ni nchi na mtu kasema siyo nchi, kelele za nini? Yaani Uganda waseme sisi TZ siyo nchi tuandamane?? fikiri hapo kuna tatizo!!!!!!!

Waberoya
 
This problem has come about chiefly because of careless talk on the part of our incompetent PM. The problem was further complicated by another careless talk by a Zanzibar minister, another incompetent CCM officer bearer. The problem has indeed been worsened and is even posing a real threat to the survival of our union by another caress talk by Dr Harrison Mwakyembe.

It is particularly disturbing to have politicians of Mwakyembe's calibre engage in such dangerous talk. I see a dangerous precedence these days in which our politicians are prepared to utter whatever will elavate their popularity, with a total disregard to the consequences of their talk on important matters such as the state of our union.
 



Kitila hili swala la Zanzibar kuwa mkoa ama ama Nchi haliwezi kupata ufumbuzi wa haraka maana wote ni wasanii wa pande zote 2 .Wanajuana kwamba ni wasanii sana sana wanalitumia sasa kuwafanyan msahau kuongelea mambo ya msingi kama ya Tume ya mafisadi nk .Zanzibar si Nchi na haina hadhi wala sura ya ki Nchi bali ni ka eneo kama kule Tarime ndani ya Jamhuri ya Muungano .Hili wanalijua ila wana test zali .Kuna mtu kakuta nimeanza gumzo juu za ZNZ si Nchi hapa cafe kataka kufa ghafla akasema sifai kuwa kiongozi lakini nikasema mie sifinyangi maneno nayatoa yalivyo na vigezo vua Zanzibar kuwa si Nchi viko wazi.

CCM leteni mkataba wa Muungano uwe ndiyo mwarobaini wa mjadala huu .
 
Mwiba ni mzenj,hakuna haja ya kumwelimisha,keshaharibika huyo,viongozi wao ovyo,sembuse mwiba.

Big up mwiba,kazana kutetea upuuzi wenu.
 
ARTICLES OF UNION+case laws =Answer on whether zanzibar a state or not.
The Articles of Union between Tanganyika and Zanzibar

--------------------------------------------------------------------------------
THE ARTICLES OF UNION

between

THE REPUBLIC OF TANGANYIKA AND THE PEOPLES' REPUBLIC OF ZANZIBAR

WHEREAS the Governments of the Republic of Tanganyika and of the Peoples' Republic of Zanzibar being mindful of the long association of the peoples of these lands and of their ties of kinship and amity, and being desirous of furthering that associatio! n and strengthening of these ties and of furthering the unity of African peoples have met and considered the union of the Republic of Tanganyika with the Peoples Republic of Zanzibar:

AND WHEREAS the Governments of the Republic of Tanganyika and of the Peoples'Republic of Zanzibar are desirous that the two Republics shall be united in one Sovereign Republic in accordance with the Articles hereinafter contained:-

It is therefore AGREED between the Governments of the Republic of Tanganyika and of the Peoples' Republic of Zanzibar as follows: -

(i) The Republic of Tanganyika and the Peoples' Republic of Zanzibar shall be united in one Sovereign Republic.

(ii) During the period from the commencement of the union until the Constituent Assembly provided for in Article (vii) shall have met and adopted a Constitution for the united Republic (hereinafter referred to as the interim period) the united Republic

(i! ii) to (vi).

shall be governed in accordance with the provisions of Articles

(iii) During the interim period the Constitution of the united Republic shall be the Constitution of Tanganyika so modified as to provide for-

(a) a separate legislature and executive in and for Zanzibar from time to time constituted in accordance with the existing law of Zanzibar and having exclusive authority within Zanzibar for matters other than those reserved to the Parliament and Executive of the united Republic;

(b) the offices of two Vice-Presidents one of whom (being. a person normally resident in Zanzibar) shall be the head of the aforesaid executive in and for Zanzibar and shall be the principal assistant of the President of the United Republic in the discharge of his executive functions in relation to Zanzibar;

(c) the representation of Zanzibar in the Parliament of the United Republic;

(d) such other matters! as may be expedient or desirable to give effect to the united Republic and to these Articles.

(iv) There shall reserved to the Parliament and Executive of the united Republic the following matters-

(a) The Constitution and Government of the united Republic.

(b) External Affairs.

(c) Defence.

(d) Police.

(e) Emergency Powers.

(f) Citizenship.

(g) Immigration.

(h) External Trade and Borrowing.

(i) The Public Service of the united Republic.

(j) Income Tax, Corporation Tax, Customs and Excise.

(k) Harbours, Civil Aviation, Posts and Telegraphs.

And the said Parliament and Executive shall have exclusive authority in such matters throughout and for the purposes of the united Republic and in addition exclusive authority in respect of all other matters in and for Tanganyika.

(v) The existing laws of Tanganyika and of Zanzibar shall remain in force in their respective territories subject-

(a) to any provision made hereafter by a competent legislature;

(b) to such provision as may be made by order of the President of the united Republic for the extension to Zanzibar of any law relating to any of the matters set out in Article (iv), and the revocation of any corresponding law of Zanzibar;

(c) to such amendments as may be expedient or desirable to give effect to the union and to these Articles.

(v) (a) The first President of the united Republic shall be Mwalimu Julius K. Nyerere and he shall carry on the Government of the united Republic in accordance with the provisions of these Articles and with the assistance of the Vice-Presidents aforesaid and of such other ministers and officers as he may appoint from Tanganyika and Zanzibar and their respective public services.

(b) The first Vice-President from Zanzibar to be appointed in accordance with the modifications provid! ed for in Article (iii) shall be Sheikh Abeid Karume.

(vii) The President of the united Republic: in agreement with the Vice-President who is head of the Executive in Zanzibar shall-

(a) Appoint a Commission to make proposals for a Constitution for the united Republic.

(b) Summon a Constituent Assembly composed of Representatives from Tanganyika and from Zanzibar in such numbers as they may determine to meet within one year of the commencement of the union for the purpose of considering the proposals of the Commission aforesaid and to adopt a Constitution for the united Republic.

(viii) These Articles shall be subject to the enactment of laws by the Parliament of Tanganyika and by the Revolutionary Council of the Peoples' Republic of Zanzibar in conjunction with the Cabinet of Ministers thereof, ratifying the same and providing for the Government of the united Republic and of Zanzibar in accordance therewith.

IN WITNESS WHERE Julius K. Nyerere, the President of the Republic of Tanganyika, and Abeid Karume the President of the Peoples' Republic of Zanzibar have signed these Articles, in duplicate, at Zanzibar, on this twenty-second day of April, 1964.

Passed in the National Assembly on the twenty-fifth day of April, 1964.
 
1.
Mkuu mwenzetu shukurani sana kwa uelewa wako wa siasa za Zanzibar lakini kwa hili naona hujalipatia. Issue iliopo sasa hauhusu maisha ya kisiasa ya mtu mmoja yaani Shamuhuna bali ni issue inayoikabili CCM yote Zanzibar.

Hii ishu ni ya viongozi wa juu wa CCM, kuanzia Bara na Visiwani, lakini the bottom line ni tatizo la Visiwani period, ndio wanaopaswa kuamua kama wanataka muungano au hapana. Tunajua kuwa viongozi wengi wa CCM huko Visiwani sio chaguo la wananchi ni chaguo la viongozi wa CCM Bara, including Amani mwenyewe, unafikiri ni kwa nini walichaguliwa na CCM bara, ni ili walinde masilahi ya kisiasa ambayo yana utata kisheria, sasa wale viongozi waliowekwa huko Visiwani kwa nguvu na na viongozi wa bara, leo wanaweza kuwa na ubavu wa kuwakemea waliowaweka?

Hivii Zanzibari ukifanyika uchaguzi huru na wa haki, Shamuhuna na Amaani wanaweza kweli kushinda uchaguzi? Si unajua kuwa hawawezi, sasa wanawezaje kuuuliza maswali against waliowaweka kwa nguvu? Sasa kwenye haya matatizo sisi wananchi wa bara tunahusishwa vipi?


2.
Hii ni another lie, ili ubaki kwenye power huko kwenu ni lazima ukubalike na the powers wa bara, Amani atakuwa mjinga kuchukizwa na Zanzibar kuwa mkoa wa bara kwa sababu bila hivyo yaani nchi yake kuwa mkoa, ksiheria kwenye muungano, asingeweza kuwa rais wa huko, CCM bara waliweza kummuingiza Amani kwenye urais kwa nguvu kwa sababu ya Zanzibar kuwa mkoa wake, ingekuwa ni nchi huru isingewezekana hiyo sasa una maana Amani anauchukia mkono uliompa kula?

Nyinyi wananchi wachache wa huko visiwani, msitudanganye hapa JF kuwa mnawaongelea wananchi wote wa visiwani, na ukweli ni kwamba mna safari ndefu sana mpaka siku moja kuja kujua tatizo lenu lilipo kuwa kwenye muungano wetu, kisheria nchi yenu ni mkoa na rais wenu ni RC tu, ndio maana hata rais asipokuwepo kwenye kika cha cabinet bado rais wenu hawezi kuwa mwenyekiti wa kile kikao!, maana RC hawezi kuwa chairman wakati Waziri Mkuu yupo kwenye kile kikao!

Now stop fooling yourself, kwa sababu mbele ya watu wenye akili mnaonekana kuwa a big joke!
 
1.
Haya ndio mawazo mufilisi kisiasa, kama ya Shamuhuna a total idiotic political thinking kwa sababu unawezaje kuwa nchi ndani ya muungano na nchi nyingine ambayo ni kubwa mara 10 kuliko yako?

Hivi ni kweli unaelewa maana ya maneno yako mwenyewe kuwa "iliungana"?



Mwakyembe na Shamuhuna, sio tatizo la muungano tatizo ni uwezo mdogo wa kuelewa kuanzia wananchi mpaka viongozi wa huko visiwani, huwezi kujiunga kwenye muungano na nchi kubwa kama bara halafu ukadai wewe bado ni nchi!

Nonesense! Zanzibar kwenye muuungano ni mkoa na rais wao ni simply RCyaani wala sio makamu wa kwanza wa rais, kwa sababu rais wa muungano akisafiri bado RC ambaye ni rais wa Zanzibar, bado hawezi kuakimu nafasi ya urais wa jamhuri hii ni fact inayosimama kisheria, regardless ya mawazo ya Shamuhuna na Mwakyembe!
 
Naona wengine ni muhimu warudi kusoma historia. Hata Muungano hawajui. Mwakyembe anazungumza akiwa na digrii tatu kichwani as constitutional lawyer na digrii tatu kichwani. MWIBA naweza pata cv yako? Sorry anyway
 

Mkuu Kitila,

With all due respect, hapa na wewe una-miss the big picture on the ishu, ni wajibu wa viongozi wetu bara kuwakumbusha viongozi wavivu kufikiri kama Shamuhuna kuhusu a fragile sheria za muungano wetu,

The state of our muungano, ndio hasa the big question hapa kama kuendela kwake ni interest ya nani kati ya wananchi wa bara na visiwani, au ni strickly kwa ajili ya viongozi wa juu wa pande zote mbili?

Mwakyembe, na Pinda wako on the right side of the glass, kwa sababu Zanzibar sio nchi kwenye muungano, na haiwezi kuwa wakati rais wao ni simply an RC, let them spare it publicly na kina Samuhuna baada ya miaka 45 ya kuficha ficha ukweli, kwenye siasa sometimes kama kuna a political cancer kama huu muungano ni politically correct ku-create a public political cricis hoping kwamba it will draw the attention ya wanaohusika na kulitafutia a permanent political solution!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…