Kweli wewe ni 'DARWIN' ngoja nikwambie,
The law (Constitution) that governing the present union between Tanganyika and Zanzibar is nearly equal to the law of natural selection 'the survival of the fittest' as was pioneered by 'Darwin' (hahahaaaaaaa!). What we see now is that, the people of zanzibar are not fit in the present union environment, if they want to fit therein, they should adhered to what the people of Tanganyika want them to do, for instance:

+ to recognize the URT PM
+ to acknowledged that waziri kiongozi has no voice in Tanzania mainland
+ to allow their oil to be shared
+ to be ready to receive only 3% of URT income
+ to agree that zanzibar is not a country but a mere region like Lindi
+ to allow MPs from Tanzania mainland to participate in Baraza la wawakilishi
+ to refrain from taking posts which are not belong to the union

Failure to fulfill the above requirements, the people of zanzibar will automatically be eliminated not only in the union but also possibly on the earth's surface since in absence of the union, separation between them will emerge, note that, separation is associated with war, and war means death, further, death means elimination of people from the earth's surface.

Anyway, though I started with jokes, on the other hand I was responding to the insulting language which 'Darwin' (above) had used to present his views. Indeed, the used language is unacceptable in this forum. We want this forum to be the forum of open- minded- people, people who can discuss and exchange ideas/views on matters pertaining to politcs, economies, social issues etc. Therefore, I would like to advise those who want to use such kind of language to register themselves in www.theutamu.blogspot.com. There, I hope, they can fit.
 

Mjadala utavunja sheria gani?
 

Nafikiri anayetakiwa kusahihisha ni wewe Kuna Rais wa Zanzibar na siyo Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Rais wa Zanzibar ndiye anayeteua Majaji wa Mahkama za Zanzibar na Ndiye anayewaapisha Majaji hao wa Mahkama, na Ndiye mdau (upande wa pili wa Baraza la Wawakilishi).
Pili nyinyi watu mnashangaza sana. Mnataka kuzungumzia Muungano ,bila ya kuzingatia historia yake, na kiini cha kuaasisiwa kwake. Mnamsahau kabisa Mwalimu Nyerere aliyeanzisha Muungano huu na mawazo na hisia zake, na ndio maana mnaelemea upande mmoja tu. Mnasahau kabisa upande ule unaochelea kutomezwa kwa "Zanzibar" ambao Nyerere siku zote aliuzungumzia na kuutetea kwa nguvu zake zote., Na si shangai kusikia maoni kuwa Eti SMZ ni sawa na Halmashauri ya Manispaa ya Sengerema. Jitahidini kuwa wachambuzi badala ya kuwa bla bla tu. Muungano wetu unahitaji check and balance. Kuzuia Zanzibar kuwa na madaraka ya kupindukia (kama Nchi ndani ya Muungano). Lakini kwa wakati huo huo kuzuia hofu ya kumezwa kabisa kwa Zanzibar (na Utaifa wake ndani ya Muungano) katika Muungano. Hiyo ndio dhana ya Serikali mbili inayolinda Muungano huu, ambao sote tunauuenzi na kuuendeleza.
 

Mkuu, kuna watu wengine hata ukiwaloweka mwaka mzima kwenye bwawa la elimu hawawezi kuelimika.
 

Seleli ana mawazo mgando ya kuimeza Zanzibar ndani ya Muungano. Waasisi walikemea sana mawazo kama hayo. Kupiga mbiu kuimeza Zanzibar ndani ya Muungano ni kitendo cha uhaini kama vile ulivyo uasi wa kutaka kujitenga. Mheshimiwa Seleli upo?
 
Mzee nipe sababu kubwa tatu kwanini Unguja na pemba sio mikoa, sio za kikatiba nataka.

Angalia idadi ya watu
Uchumi
Eneo


Asante

Mkuu!
Nimezungumzia Zanzibar na si Unguja na Pemba! Kama hauwezi kusema Tanzania bara ni mkoa, vile vile kwa Zanzibar! Haina haja ya sababu tatu.
 
Jamani hapa si uwanja wa matusi....kama huna hoja tuliaa...uangalie game linavyochezwa...
 
nchi inakwenda kuzuri...if watu wataanza kujadili tulipotoka na tunapotaka kwenda...Mwanzo wa Mjadala wa Seleli si mbaya, Najua kazungumza kwa jazba, lkn kauli yake ni vema ifanyiwe kazi...Tuujadili Muungano, yapi tuyaweke ktk Muungano na kila mmoja atanufaika vipi na ataathirika vipi..Ni ktk Kweli Muungano Kila mmoja ataloss na Kugain, lkn inapofikia mmoja kulalamika, basi malalamiko yake ni ya Kufanyiwa kazi...

Muungano huu wa nchi 2 hauna tofauti na Muungano wa Mume na Mke...
Nafikiri watetezi wa Mwalim Nyerere..kama wapo itabidi wamuwajibishe Seleli...
 
wanajamii f , kwa mara ya kwanza , naomba kutoa maoni yangu kama ifuatavyo

jamani tuwasikilze vizuri wazanzibar wanavyo sema , ujanja wa bara kuimeza nchi ya Zanzibar wameshitukia , zanzibar si mkoa ni nchi , kuna wakuu wa mikoa pia zanzibar, wameshaona pia ni vigumu Rais wa muungano kutoka zanzibar kutokana na ukubwa wa nchi. waacheni wadai nchi yao
 
Kwa kuwa muungano uliundwa bila wananchi kutakiwa kutoa maoni yao, na kwa kuwa G55 walinyamazishwa kiaina, kwa hiyo cheni sasa watu waseme ili tuone kasoro zilizopo na kujipanga kufanya marekebisho.
Watu wakizuiwa mawili makubwa yataokea. Kwanza, hatutaweza kujua kasoro zilizopo hivyo kushindwa kujia aina ya marekebisho yanayotakiwa. Pili, mawe yatapiga kelele
 

Pundit.. it reminds me of the the "conscience of one" ya maborg... !
 
Kwa nini tunakua na mawazo ya "kuimeza Zanzibar"?Mbona Tanganyika ishamezwa na no one give a damn about it?Hapa ni kuangalia lililo sahihi kimaendeleo na hata kiudugu.Suala la kuimeza Zbar ni uoga au ni hoja mficho ambayo wenye kuitetea wana ajenda binafsi za kimadaraka.
Hpa ni muundo unaofaa kimaendeleo ya jamii hii ya Tz iwe serikali moja mbili ama tatu
Shy acha kuziba watu midomo au umetumwa nini?
 
Ndivyo ilivyo na Fundi mchundo,

Postings zenu hapo juu zimeniacha midomo wazi.

Sidhani kama mlikusudia kuandika mlichoandika wakuu!.
 
Zanzibar, kwa kutotaka "kumezwa," walikataa hata registration numbers zinazoanzia "T."
 
Ndivyo Ilivyo,

Kama nia ni kuunguna kwa nini tusifikirie kuwa na serikali moja! kwa mfano baada ya miaka 2-10.

Sasa tujiandae... kwani Mzanzibar na Mtanganyika... anapata nini akiitwa hayo majina?

Mimi naungana na wale wanaotaka serikali moja...

Historia is nothing to us.... we shall put in book and we shall remember that once upon a time there was a Zanzibar and Tanganyika!
 
Pundit.. it reminds me of the the "conscience of one" ya maborg... !


Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaa,

Duh, unataka kunichekesha mpaka watu wanione mwehu hapa.

Yaani kama kuna jinsi ya kuiweka hii in a more concise way mimi siijui.

Dayum, utanifanya nizirudie kuziangalia tena!
 

Inaonekana WAZANZIBAR wanaubaguzi sana,

Mimi ningewashauri huo wanaoita nafasi sawa serikalini na mgawao sawa wa mapato wangeanza kwanza na mgao sawa wa nafasi za serikalini kati ya PEMBA na Ungunja.Harafu waje pia mgao sawa wa fedha na maendeleo ya kiuchumi kati ya PEMBA na UNGUJA.wakimaliza hapo ndipo waje kutafuta mgawanyo sawa ktk serikali ya muungano.

Hakuna mkoa wala kanda ktk Tanzania bara ambapo hua nasikia wanalalamika mgawanyo wa wafanyakazi.

Zanzibar ningeshauri tuvunje muungano,Lakini kitu ambacho na % fulani muungano ukifa pia Zanzibar itakufa maana patatokea Nchi ya PEMBA na nchi ya Unguja.Huo ni mtazamo wangu tu.
 
Zanzibar ningeshauri tuvunje muungano,Lakini kitu ambacho na % fulani muungano ukifa pia Zanzibar itakufa maana patatokea Nchi ya PEMBA na nchi ya Unguja.Huo ni mtazamo wangu tu.

Ala. Na ukianzisha Tanganyika yako kuwa tayari kuanzisha na nchi za Ziwa Victoria Republic. Nyanda za Juu Republic, Unyanyem,be Republic, bilam ya kusahau Machinga Republic. Sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…