Roho ni mali ya Mungu kama ni hiyo unahisi Mungu ataendelea kukutizameni mkiichezea Mali yake sivyo ndivyo na kuiteketeza bure huku yeye anakutizameni tu. KING COBRA
 
Last edited by a moderator:
Yesu alimwaga damu kwa lengo la kupata ukombazi na leo ni siku kubwa!!
Sasa nchi hii tupo chini ya utumwa , watawala wetu wamekumbatia uchawi na kumuasi Mungu.
Roho zote ni mali ya Mungu

siyo yesu tu hata wale wanaojilipua lengo ni hilohilo
 
HABARI WATANZANIA ,Nikweli dhahiri kwamba mfumo wa serikali mbili ni mzuri lakini nimatakwa ya watanzania wote kama ndiyo au hapana tunafanya je? kwanza lengo lakutaka katiba mpya nilipi? na mapungufu ya katiba iliyopo ni yapi? kama serikali inakataa mfumo wa serikali tatu kwanini ilikubari kufanya mabadiliko na huku wakiwa hawataki mabadiliko,CCM nichama chenye mizizi ya chuma ya ufisadi tayari wamesha wanunua wajumbe wa bunge lakatiba ndio maana mambo yana zidi kuwa magumu na kitendo cha kuingiza siasa katika kutatua kero za wananchi ni kosa la jinai, HAKUNA MABADILIKO YA KATIBA BALI NI KUKOLEZA WINO KATIBA ILIYOPO ,kwamaana mfumo wa serikali ni uleule viongozi walewale watu walewale ,kamwe CHADEMA haiwezi kuing'oa ccm wala kuipinga kitakachotokea ni kama kongo na m23 ilivyo wasumbua wananchi na walichotaka hawakupata kisha wakaji salimisha ,watanzania wengi hatuna FUTURE ndio maana tunalizika na pesa tunazo hongwa na ccm na kuliacha tabaka la watu maskini likizidi kuteseka kila kukicha.UKAWA ,no way
 
HUU NI MTAAMO WANGU BINAFSI!
Sidhani kama kuuvunja ni suluhisho madhubuti la kuzipatia pande mbili husika yale yanayodhaniwa yanaupungufu kwa kila pande kadiri ya hoja, ambazo pia ni muhimu sana kuzichunguza kabla ya kuzijumuisha kuwa ni za watu wa upande fulani, nasema hivi kwa sababu kuna uwezekano mkubwa wa mchocheo wa watu au kundi la watu wachache wanoweza kusimama na kupiga propaganda kwa maslahi yao, chini ya mwamvuli wa wananchi wote wa upande fulani wa Muungano, Wadau, ni muhimu sana kuchambua na kutenganisha:
1. "kero za muungano" na
2. "kero katika kuudumisha na kuuendeleza muungano"
Katika hilo la 1, ni dhahiri katika 'objective critique' watu, taasisi, nchi n.k huamua kuungana ili kujiboresha katika nyanja fulani, hili ndilo lengo la muungano, hivyo basi si sahihi wala makini yakutosha kama tutaidhiri maana hii ya Muungano na kuishusha kuwa upatu.
Na hili la 2 ndilo changamoto ambayo mimi kwa mtazamo wangu, ninaliona kuwa suala nyeti katika hali ya nchi zetu hizi mbili zilizoungana, na hakuna budi, ni lazima zitatuliwe. Ila utatuzi huu si jambo la kukurupuka na kulifuta ghafla ni lazima kuweka maslahi ya watu wote na wa pande zote mbele, tena kwa lengo la muhimu na la mwisho la kuudumisha na kuuendeleza Muungano. Kutoa au kuruhusu mabo fulani yanayowaniwa na upande fulani kama :frusty: anaunyonya upande fulani au kuupendelea uapande fulani, ni muhimu kuyachuja kwa umakini tukijua wazi kwamba hapa si suala tu la upande huu au upande ule, ila sisi sote katika letu moja, yaani Muungano, tusije mwisho wa siku tukapoteza hata ile dira kwamba ni kwa nini tuliungana.
I believe that there can only exist a virtue of solidarity and unity, But a sin of separation and peace. As the late Mwalimu J.K Nyerere said in one of his speeches that Dhambi ya ubaguzi haiishi...
 
kwani hao machotara wa kiarabu wasiokuaa na baba la mama wananini cha maana ktk hicho kijiji chao wanachokiita nchi
 
Watanzania tunaleta siasa hata kwenye maendeleo ya nchi kwanini tuganganie muungano wakati wenzetu hawataki chenye mwanzo hakikosi mwisho
 
Kila chama kipo kwa maslah binafsi! CHADEMA na CUF wanataka kupata madaraka via serikal 3 while CCM hawataki kung'oka via serikali mbili!! Ili kupunguza gharama its better kuwa na serikali MOJA tu since watumishi wa serikali watapunguzwa!
 
Kwa nn mtu ucomment kwa lugha za kibaguzi? kama watu wanahtaj nchi yao ya nn wang'ang'aniwe? Ziko nchi ndogo na zenye watu wachache kuliko zanzibar na watu wake wana maisha mazuri na wana aman tele.Kama mtu hazifaham ni juu yake kwake kuzitafuta na kuzifaham.Swala la uchache wa watu huwez kulitumia ktk kufanya analysis ukilinganisha na ukubwa na mamlaka ya eneo hilo.
 
Its good if crital analysis is given to the people of Tanganyika and Zanzibar as to why their leadrs decided to form this union of two free countries. Let us also explain if it was political union or peoples union. If that answer can be given then, we can look on the terms of union in 1964! Do they fit the current situation? The answers may give us the direction of the union.No single person can decide on the needs of many on the table.
 
Yesu alimwaga damu kwa lengo la kupata ukombazi na leo ni siku kubwa!!
Sasa nchi hii tupo chini ya utumwa , watawala wetu wamekumbatia uchawi na kumuasi Mungu.
Roho zote ni mali ya Mungu


KAFARA YA YESU HAISAIDII CHOCHOTE


Wakristo wanaamini ya kwamba Adamu na Hawa walifanya dhambi kisha wazao wao wote wanarithi dhambi hiyo (dhambi ya asili). Na Mwenyezi Mungu hawezi kuondoa adhabu ya dhambi ile bila kumwaga damu, na hakuna mtu yeyote anayeweza kuokoka bila ya kafara. Na anatolewa kafara ambaye hana dhambi yoyote. Na wakati wanadamu wote wanarithi dhambi hiyo, yeyote hawezi kutolewa kafara. Kwa sababu hiyo Mwenyezi Mungu alimtoa Bwana Yesu Kristo atolewe sadaka na damu yake iwe kafara ya dhambi za watu wote.

Lengo la kutumwa kwa Yesu lilikuwa ni kuwaokoa wanadamu kwa kafara ya damu yake.

Nitachunguza na kuzipima hoja zote za Wakristo kuhusu kafara. Na itathibitika ya kwamba kafara ya Bwana Yesu haisaidii chochote.

(i) Mwenyezi Mungu ambaye ni Muumba wa ulimwengu aliye mwingi wa rehema na mwingi wa ukarimu hataki kafara ya watu kama alivyosema.

"Nataka rehema wala siyo sadaka." (Mathayo 12:7).

Hiyo ni sababu wakati Nabii Musa alipotaka kujitoa kafara, Mwenyezi Mungu hakukubali mawazo yake.

Biblia inasema ya kuwa: "Asubuhi yake Musa akawaambia watu, mmetenda dhambi kuu. Sasa nitakwenda juu kwa Bwana, labda nitafanya upatanisho kwa ajili ya dhambi yenu. Musa akarejea kwa Bwana akasema: "Aa!! watu hawa wametenda dhambi kuu, wamejifanyia mungu wa dhahabu. Walakini sasa, ikiwa utawasamehe dhambi yao na kama sivyo unifute,akusihi, katika kitabu chako ulichokiandika. Bwana akamwambia Musa, mtu yeyote aliyenitenda dhambi ndiye nitakayemfuta katika kitabu changu." (Kutoka 32:30-33).

(ii) Ikiwa lengo lilikuwa ni kuwasamehe watu, basi watu walisamehewa kwa maombi ya Nabii Musa tu. Wala haikuhitajika kumwagika damu ya mtu. Kama Nabii Musa mwenyewe alivyosema: "Nikaanguka nchi mbele za Bwana siku arobaini usiku na mchana, kama pale kwanza; sikula chakula wala kunywa maji ; kwa sababu ya makosa yenu yote mliyokosa, kwa kufanya yaliyo maovu machoni pa Bwana, kwa kumkasirisha. Kwa kuwa niliogopa hasira na makamio aliyowakasirikia Bwana kutaka kuwaangamiza. Lakini Bwana alinisikiza wakati huo nao. Bwana akamkasirikia sana Haruni akataka kumwangamiza; nikamwombea Harun naye wakati huo. (Kumbukumbu la Torati 9:18- 20).

Siyo hiyo tu, bali wapo watu kadhaa wale ambao hawana dhambi bila ya kumwagwa damu ya Yesu. Kwa mfano, katika Biblia imesemwa kuwa: "Melkizedeki hana baba, hana mama, bali amefananishwa na Mwana wa Mungu huyo adumu kuhani milele." (Waebrania 7:3).


Melkizedeki aliumbwa bila ya wazazi wawili, na huyo hana dhambi aliyorithi toka kwa wazazi.

Vile vile Enoko alienda pamoja na Mungu. (Mwanzo 5:22).

Enoko akiwa pamoja na Mungu kwa kuwa hakuwa na dhambi, kwa maana mwenye dhambi hawezi kumkaribia Mungu.

Vile vile Biblia imesema kwamba Zakaria na mkewe Elizabeti hawakuwa na dhambi.


Zamani za Herode, mfalme wa Uyahudi, palikuwa na kuhani mmoja jina lake Zakaria wa Zamu ya Abiya, na mkewe alikuwa mmoja wa uzao wa Haruni, jina lake Elizabeti na wote wawili walikuwa wenye haki mbele za Mungu wakiendelea katika amri zote za Bwana na maagizo yake bila lawama." (Luka 1:5-6).

Kama hawa wazee wawili hawakuwa na dhambi ndivyo vivyo mtoto wao Yohana hakuwa na dhambi.

Imesemwa kuwa: "Sababu atakuwa mkuu mbele za Bwana hatakunywa divai wala kileo naye atajazwa roho mtakatifu hata tangu tumboni mwa mamaye." (Luka 1:15).

Sasa basi, ikiwa watu wote hawa walikuwa wema na hawakuwa na dhambi yoyote, kabla ya damu ya Yesu, sifa hizo walizipata vipi?.

(iii) Bibla inapinga na kufutilia mbali mawazo ya kuwa mtu anaweza kubeba dhambi za mtu mwingine.

Kama Mwenyezi Mungu alivyosema:

(A) "Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao. Kila mtu auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe." (Kumb. 24:16).

(B) Lakini kila mtu aipime kazi yake mwenyewe, ndipo atakapokuwa na sababu ya kujisifu ndani ya nafsi yake tu, wala si ya mwenzake." (Wagalatia 6:4). Wakati mtu hawezi kubeba dhambi za mtu mwingine,

Mapadri wa leo wanahubiri kinyume na fundisho hili la Biblia kwa msingi gani?


(iv) Bwana Yesu hakujua lengo la kutumwa kwake kwamba ni kutolewa sadaka au kafara, kwa sababu hiyo alikuwa na hofu ya hali ya juu ya kuuwawa kwake.

Ndiyo maana alijificha kama isemavyo Biblia: (A) "Basi tangu siku ile walifanya shauri ya kumuwa kwahiyo
Yesu hakutembea tena kwa wazi mpaka mji uitwao Eframu akakaa huko pamoja na wanafunzi wake." (Yohana 11:53-54).

(B) Maadamu mnayo nuru iaminini nuru hiyo ili mpate kuwa wana wa nuru. Hayo aliyasema Yesu, akaenda zake, akajificha wasimwone." (Yohana 12:36).


Vipi tena mtu ambaye anasemekana kwamba alikuja kumwaga damu yake kwa ajili ya kuwaokoa watu kwa nini alijificha ficha?

Na wakati alipotakiwa kumwaga damu alipiga mayowe?

Kama tuirejeapo Biblia: "Na kama saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema "Eloi, Eloi lamasabaktani? Yaani Mungu wangu! Mungu wangu mbona umeniacha? (Mathayo 27:46).

Kama Yesu hakutaka kumwaga damu yake kwa hiyari yake, basi hii si sadaka wala kafara, bali ni kumshinikiza.

Vilevile kama mtu anamsaidia masikini kwa hiyari yake, hii inakuwa ni sadaka, na kama ataporwa na masikini hiyo haitaitwa sadaka, bali hii itaitwa ni wizi au ujambazi.
 
Muungano uwepo.ila haki iwe pande zote mbili kinachotufanya wanzanzibar kudai ni haki yetu tunataka mamlaka kamili zanzibar irudi kama zamani ni hilo tu wadau zanzibar ni nchi ila haijijengi kutokana na muungano uliochakachuliwa sasa hapo.kuna tatizo kudai mamlaka ya nchi yetu
 
Sawa kabisa na kwann wayapuhuzie maoni ya wananchi na kulikua na sababu gani ya kuunda tume ya kukusanya maoni ya wananchi?
 

Mnataka mamlaka na je mamlaka ya Tanganyika yako wapi? Kwanini hamtaki nchi moja na serikali moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…