Me nafkr n vema tukaendelea kua na serikali moja, tukivunja muungano n sawa na kupinga kile ambcho kiliwekwa na waasis wa nchi hii
 
Kwakweli umenigusa sana na wazo lako kwamba muungano uvunjwe na Zanzibar iwe nchi kama Kenya au Uganda halafu tuangalie namna tunaweza kushirikiana kama tunavyoshirikiana na nchi zinazotuzunguka hii ni dawa tosha kabisa ya hili donda ndugu
 
Tunachohitaji kwenye muungano kwasasa kimeshapatikana kupitia katiba pendekezwa,kazi kwetu kuisoma na kuielewa ili kuepuka upotoshaji
 
  • Hawataki jeshi,polisi na usalama wa taifa viwe vya muungano.
  • Urais na uwaziri mkuu uwe ni wakupokezana kila msimu
  • Misaada inayotolewa na nchi wahisani igawaje 50% kwa Zanzibar na 50% kwa bara kwa maana ya nchi mbili zinazounda taifa la Tanzania.
 
Bwana weye hizo kero tatu ziko wapi? Mbona hapo kero ni moja tu, hawautaki muungano. Kuna ugumu gani kuiona hii kero.
 
Kwa maana hiyo wanataka uchaguzi wa mwaka huu, rais na waziri mkuu wa tanzania atoke zanzibar.
 
Nani kakuambia? wanataka wawe huru waishi kama islamic state
 
mziki ni pale wazanzibar watakaposema wazi wazi kwamba safari hii ni zamu yao kumtoa Rais wa muungano
 


Nonsense hujielewi wewe!!
 
Kwakweli umenigusa sana na wazo lako kwamba muungano uvunjwe na Zanzibar iwe nchi kama Kenya au Uganda halafu tuangalie namna tunaweza kushirikiana kama tunavyoshirikiana na nchi zinazotuzunguka hii ni dawa tosha kabisa ya hili donda ndugu

Huna jpya nenda kaformat akili yako kwanza ikikaa sawa ndio uje na hoja yako hapa,Katiba inayopendekezwaimeweka wazi katika ibara ya 5 (b) Muungano ni moja ya Tunu za Taifa!wewe unayewaza kuuvunja unatKa kuupeleka wapi?mfukoni mwako?rudi darasani ukajifunze.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…