Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
Kama kwa miaka miwili tu aliyorithi madaraka amweza kufanya madudu kama haya.

Akipata miaka mingine mitano itakuwaje? Wana CCM mfanye mabadiliko mwaka 2025 muweke mtu ambaye atakuwa na uchungu na Tanganyika.

Sakata la Loliondo kwa Waarabu, sakata la bandari kwa Waarabu.
Kweli kafanya madudu mengi kweli.

  • Wafanyakazi wa watu walikua na mishahara mizuri tu ye kaenda kuwaongezea
  • kaongeza mishahara kwa asilimia zaidi ya 20 kwa wenye mishahara midogo Atakua haifai huyu
  • Tumtimue kwanini sasa hivi anatoa mikopo kwa wanafunzi wote
  • Halafu na pato la Taifa la mtu Mmoja mmoja kaliongeza mpaka all time high japo tuna janga la uchumi duniani haifai huyu
  • Ona anavyoruhusu wapinzani waongee hii haikubaliki.

Sometime I wish huyu mama wa Watu ajiuzulu atokee Sukuma Gang mwengine ashike nchi, mpigwe tena virungu wee, mjazwe kibao mahabusu, musiongezewe mishahara, vijana wenu waanze kufanyishwa kazi Bure kwa kusingizia cha uzalendo kama miaka 20 hivi mtie akili kwanza. Maana shukran hamna.
 
Kama kwa miaka miwili tu aliyorithi madaraka amweza kufanya madudu kama haya.

Akipata miaka mingine mitano itakuwaje? Wana CCM mfanye mabadiliko mwaka 2025 muweke mtu ambaye atakuwa na uchungu na Tanganyika.

Sakata la Loliondo kwa Waarabu, sakata la bandari kwa Waarabu.
we kapeleke huo ubaguzi na chuki zako za kipuuzi kwa mamako, Samia ameshapitishwa apitishwe mara ngapi. Mama amefanya mambo makubwa halafu unaleta utumbo wako hapo kisa mmekosa nafasi serikalini. Nyie nyau tu hamuwezi kumzuia, wti Tanganyika bila haya? Hakuna nchi inaitwa hilo jina we kenge
 
Kweli kafanya madudu mengi kweli.

-Wafanyakazi wa watu walikua na mishahara mizuri tu ye kaenda kuwaongezea
-kaongeza mishahara kwa asilimia zaidi ya 20 kwa wenye mishahara midogo Atakua haifai huyu
-Tumtimue kwanini sasa hivi anatoa mikopo kwa wanafunzi wote
-halafu na pato la Taifa la mtu Mmoja mmoja kaliongeza mpaka all time high japo tuna janga la uchumi duniani haifai huyu
-Ona anavyoruhusu wapinzani waongee hii haikubaliki.

Sometime I wish huyu mama wa Watu ajiuzulu atokee Sukuma Gang mwengine ashike nchi, mpigwe tena virungu wee, mjazwe kibao mahabusu, musiongezewe mishahara, vijana wenu waanze kufanyishwa kazi Bure kwa kusingizia cha uzalendo kama miaka 20 hivi mtie akili kwanza. Maana shukran hamna.
"Shukurani ya ngamia kikumbo!
 
Kama kwa miaka miwili tu aliyorithi madaraka amweza kufanya madudu kama haya.

Akipata miaka mingine mitano itakuwaje? Wana CCM mfanye mabadiliko mwaka 2025 muweke mtu ambaye atakuwa na uchungu na Tanganyika.

Sakata la Loliondo kwa Waarabu, sakata la bandari kwa Waarabu.
 
Attachments

  • 2B8F4647-5BE5-439D-BB19-48CE6764F67A.jpeg
    2B8F4647-5BE5-439D-BB19-48CE6764F67A.jpeg
    66.1 KB · Views: 2
Mods, pls threads zenye utanganyika na uzanzibar muwe mna zipiga ban, hawa wajinga hawana nia njema kwa watanzania.
 
UTANGANYIKA MARA UZANZIBAR, HAYA MANENO TUJARIBU KUYAEPUKA HAYATUFAI KWA SASA, TUTUMIE ZAIDI, WATANZANIA,
Twendeni tukalime ili kulijenga taifa letu.
Wako wa hovyo wanajaribu kututenga wakidhania watafanikiwa, wasahau hilo.

Watanganyika wakijitaja kwa utanganyika wao ni ubaguzi ila wazenji wakijitaja kwa uzenji wao sio ubaguzi,acheni ujinga.
 
Kama kwa miaka miwili tu aliyorithi madaraka amweza kufanya madudu kama haya.

Akipata miaka mingine mitano itakuwaje? Wana CCM mfanye mabadiliko mwaka 2025 muweke mtu ambaye atakuwa na uchungu na Tanganyika.

Sakata la Loliondo kwa Waarabu, sakata la bandari kwa Waarabu.
Hakuna ccm mwenye uchungu na nchi wote ni wezi.Tunamtaka Tundu Lissu angoze nchi
 
Kweli kafanya madudu mengi kweli.

-Wafanyakazi wa watu walikua na mishahara mizuri tu ye kaenda kuwaongezea
-kaongeza mishahara kwa asilimia zaidi ya 20 kwa wenye mishahara midogo Atakua haifai huyu
-Tumtimue kwanini sasa hivi anatoa mikopo kwa wanafunzi wote
-halafu na pato la Taifa la mtu Mmoja mmoja kaliongeza mpaka all time high japo tuna janga la uchumi duniani haifai huyu
-Ona anavyoruhusu wapinzani waongee hii haikubaliki.

Sometime I wish huyu mama wa Watu ajiuzulu atokee Sukuma Gang mwengine ashike nchi, mpigwe tena virungu wee, mjazwe kibao mahabusu, musiongezewe mishahara, vijana wenu waanze kufanyishwa kazi Bure kwa kusingizia cha uzalendo kama miaka 20 hivi mtie akili kwanza. Maana shukran hamna.
Ndugu yangu hili ni genge lililokuwa linafaidika na yule shetani wao wamejipanga humu, watanzania wengi sana wanamkubali huyu mama na atashinda kwa kishindo 2025 hao watafute hiyo Tanganyika yao. Watashindana lakini hawatashinda kamwe hao mashetani. Wamejaa chuki na ubaguzi.
 
UTANGANYIKA MARA UZANZIBAR, HAYA MANENO TUJARIBU KUYAEPUKA HAYATUFAI KWA SASA, TUTUMIE ZAIDI, WATANZANIA,
Twendeni tukalime ili kulijenga taifa letu.
Wako wa hovyo wanajaribu kututenga wakidhania watafanikiwa, wasahau hilo.
hao nia wachache sana wanafahamika hawatashinda kamwe mama ameupiga mwingi aendelee kuchapa kazi. Hili genge la kisukuma tulipuuze, tuwasute, tuwakatae hao mashetani wabaguzi waliojaa ulafi hata kwa kumwaga damu. Juzi tu mama amesaini mikataba minane kujenga barabara za lami na mambo mengine mengi wanataka turudie ktkt ule ushetani uliojaa ubaguzi? Never again
 
UTANGANYIKA MARA UZANZIBAR, HAYA MANENO TUJARIBU KUYAEPUKA HAYATUFAI KWA SASA, TUTUMIE ZAIDI, WATANZANIA,
Twendeni tukalime ili kulijenga taifa letu.
Wako wa hovyo wanajaribu kututenga wakidhania watafanikiwa, wasahau hilo.
Kwanini unaionea u Tanganyika aibu ?! Kama wazanzibari hawajawahi kuionea aibu Zanzibar yao. Haya yameletwa na wenyewe wanaojiita watawala. Viongozi watatu wa upande moja kusimamia mkataba wa ki mangungo dhidi ya masilahi ya upande moja ?!.

Kwani Zanzibar haitaki manufaa hayo ya kibandari ?!. Usione haya sema kweli.
 
Wagalatia wengi Hususan wakatoliki,wanaumia sana Kwan kifo Cha JPM na kuchukua Kwa Samia madaraka wanahisi kama vile wamedhulumiwa Haki ya kanisa kutawala Tanzania.
 
Kweli kafanya madudu mengi kweli.

-Wafanyakazi wa watu walikua na mishahara mizuri tu ye kaenda kuwaongezea
-kaongeza mishahara kwa asilimia zaidi ya 20 kwa wenye mishahara midogo Atakua haifai huyu...
Umesahau kuweka Namba Zako za simu,,,unaweza kupata uteuzi
 
Back
Top Bottom