Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
TUAMBIE NA CCM WALIVYOMSEMA NA WALIPOULIZWA WALISEMAJE?Tundu Lissu aliwahi kusema ya kwamba Lowassa ni fisadi. Wakati Lowassa anaenda CHADEMA 2015 akaikana kauli yake eti ya kwamba hakusema. Hapo ndio nikajua kumbe watu wanapigania matumbo yao tu katika hizi siasa.
Mkuu, I'll never vote a ballot mpaka siku ninakufa. Na hii nimeapa. Mungu amewezesha nizaliwe katika bara la hovyo sana.
Ipo hata katiba ya 1977 (152) kama sikosei inasema '' Tanzania bara ni iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika kabla ya Muungano''. Kwasababu Tanganyika ndiyo inayobeba muungano lakini pia kwavile kuna utegemezi wa Zanzibar, hata Rais SSH aanayekubalika na ACT na muumini wa Maalim hataki tena kuitaja.Wadau nawasabahi.Poleni na Misiba ya VIONGOZI wetu Wawili Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi na Rais wa Mioyo ya Watanzania Hayati Edward Lowassa.
Nimekuwa naufuatilia sana Muundo wa Muungano uliozaa Nchi ya TANZANIA uliofanywa na Viongozi wa Nchi ya Tanganyika Hayati NYERERE na Rais wa Zanzibar Hayati KARUME mwaka 1964.Mara baada ya Muungano huo NCHI ya Zanzibar ikaendelea kuwepo lakini Nchi ya Tanganyika sijui ilienda wapi.
Kwa yeyeto anayejua ilipo NCHI yetu TULIYOPEWA na MUNGU NCHI iliyojazwa RASLIMALI za kila aina ilipo NAOMBA Atujuze japo kwa Maneno Machache.
Hata serikali 3 siyo muhimu. Tuuvunje kila mtu apambane kivyake.Kuwe na serikali 3 tu mambo yaishe
Serikali iliyotolewa kafara ni TanganyikaHata serikali 3 siyo muhimu. Tuuvunje kila mtu apambane kivyake.
Tutawaua wazenji mkuu kua na huruma hata chembe.Hata serikali 3 siyo muhimu. Tuuvunje kila mtu apambane kivyake.
Hata ACT wazalendo wana baraza la mawaziri . Hakuna jeshi mkuu hawa ni migambo tuu ila wanaweza kuwa kama RAF kule Sudan wasipoangaliwa vizuri.Muungano gani ? Muungano ulishavunjika Zanzibar wameunda jeshi lao,wameunda katiba Yao.
Hahahaha Wana janjaweeedHata ACT wazalendo wana baraza la mawaziri . Hakuna jeshi mkuu hawa ni migambo tuu ila wanaweza kuwa kama RAF kule Sudan wasipoangaliwa vizuri.
Kama hakuna jeshi mbona Rais wa huku akienda kule anakua mdogoHata ACT wazalendo wana baraza la mawaziri . Hakuna jeshi mkuu hawa ni migambo tuu ila wanaweza kuwa kama RAF kule Sudan wasipoangaliwa vizuri.