Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
Wadau nawasabahi.Poleni na Misiba ya VIONGOZI wetu Wawili Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi na Rais wa Mioyo ya Watanzania Hayati Edward Lowassa.
Nimekuwa naufuatilia sana Muundo wa Muungano uliozaa Nchi ya TANZANIA uliofanywa na Viongozi wa Nchi ya Tanganyika Hayati NYERERE na Rais wa Zanzibar Hayati KARUME mwaka 1964.Mara baada ya Muungano huo NCHI ya Zanzibar ikaendelea kuwepo lakini Nchi ya Tanganyika sijui ilienda wapi.
Kwa yeyeto anayejua ilipo NCHI yetu TULIYOPEWA na MUNGU NCHI iliyojazwa RASLIMALI za kila aina ilipo NAOMBA Atujuze japo kwa Maneno Machache.