ujinga wote huu umeanzishwa na jitu moja Jinga sana, TUMO NDANI YA JAMUHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA. Tuondoshe tofauti kama zipo tusonge mbele!, yupo jirani hawaupendi kabisa muungano huu, na lile shenzi ndipo linapojaziwa upepo huko!
""TUMO NDANI YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WANA MUUNGANO WATAPANGA NAMNA YA KUUBORESHA ZAIDI "" [HATA KILIMANJARO ILIKUWA DOLA WAKATI FULANI], TUSIRUHUSU MASHETANI YANAYOTAKA KUIVUNJA VUNJA JAMUHURI YETU YA MUUNGANO!
 
Zanzibar sio nchi na hata mafuta yakigunduliwa Pwani ya Zanzibar wasukuma ndio watakua wanayasimamia.
Ili eneo la kijiografia liwe nchi inabidi liwe na hivi vyote kwa pamoja.
Sarafu yake
Wimbo wa taifa
Lugha rasmi,
Court of arms,
Bendera yake,
Itambuliwe na umoja wa mataifa na kuwa na balozi wa kudumu UN.
Lazima kuwe na watu wenye maguvu Kama wasukuma na wakurya.
 
Ungeuliza hivi, Je Tanganyika ni nchi au siyo nchi?

Kwa sababu unayoiulizia, ni nchi!
 
Hizo ni chuki zako zisizo na msingi na ujinga wa kuukataa ukweli.
 
Ukisema tu, mtauboresha, basi mshukuru anayebainisha ubovu huo

Kwa mantiki hiyo, wewe ndo mjinga, unakubali hoja ya ubovu wa muungano na kwamba mtauboresha, wakati huohuo unamtukana anayebainisha ubovu wenu?

Ccm kumejaa majiiiinga mpaka kero
 
Kwa Mujibu waa katiba Ya Zanzibar..
Zanzibar Ni nchi
 
Sasa wewe unasemaje na Tundu Lissu anasemaje..?

Masikini wa akili na ufahamu wewe..

Yaani hata hutambui kuwa wewe na Tundu Lissu mnaona mambo ktk mtazamo mmoja..

Tofauti ya yeye na wewe kimsingi ni moja..

Wewe unadhani kuwa huu muungano ni mali binafsi ya viongozi ya CCM na watoto wao ukisahau kuwa muungano ni mali ya wananchi wote akiwemo Tundu Lissu..

Kama ni mali ya kila mwananchi, basi ni ujinga wa kiwango cha chuo kikuu kufikiri kuwa kasoro hizi za muungano zinaweza kurekebishiwa kwenye korido za CCM - Lumumba..!!

Kasoro za muungano kimsingi ni za kikatiba.

Kurekebishwa kwake ni lazima sisi sote kama taifa kwa umoja wetu tukubaliane upya namna bora ya kuuendeleza muungano huu kwa kutengeneza au kuandika katiba mpya (mkataba mpya kati ya watawala na wananchi) na kueleza kinaga ubaga aina ya muungano tunaokubaliana tuende nao..

Nakuhakikishia jambo moja ndugu Crocodiletooth kuwa, mtajifanya hamsikii wala kuona. Mtajifanya wababe, lakini mwisho wa siku mtakaa chini bila chupi zenu hizi ili tukubaliane ktk kutokukubaliana..!
 
Kwanza kabisa Zanzibar ni Nchi kwa Mujibu wa Katiba ya Zanzibar Ibara ya 1 na ya 2


Tuje kwenye Mambo uliyotaja..
  • Sarafu yake (Hili ni jambo la Muungano ambalo kabla ya 1964 ilikuwa na sarafu yake)
  • Wimbo wa Taifa (Zanzibar ina wimbo wa Taifa wake)
  • Lugha Rasmi (Lugha ya Kiswahili inayotumika Ni lugha iliyotokana na Lahaja ya Kiunguja Hivyo ni ya zanzibar)
  • Cort of Arms "Nembo ya Taifa" hii hapa chini ni ya zanzibar




Bendera yake "Ifuatayo chini ni Bendera ya zanzibar"


Kama una swali lingine Uliza
 
Hivi huko mbele hawa CCM wakija kuulizwa na wajukuu wao kuhusu ibara ya pili ya katiba ya Zanzibar kuwa hiyo nchi ya pili iliyoungana na nchi ya Zanzibar kutengeneza nchi moja ya Tanzania iko wapi na inaitwaje watajibu nini eti?

Wataendelea kudanganya na kusema uongo tu milele yote?


Ifike wakati huu ujinga na uongo ufike mwisho..!
 
Weee


Kiukweli wapemba ni wabaguzi mno. Wanajifanya watu wa mungu ila hurum na upendo wa Kitanganyika hawana kitu hicho.

Niambie ni mtanganyika gani anaishi ulaya kama mkimbiz? Wapemba wapo. Yaani tunashirikiana lkn muungano unakasoro za aina mbalimbali
 


Tatizo wanasheria wanasema katiba ya Tanzania ina kinzana na katiba ya Zanzibar? Yaani kwa Ratiba ya Tanzania Zanzibar sio nchi kwasasa lakini iliwahi kuwa nchi
 
wanafwata kazi, wengi wameajiriwa huko kwenye tourism isitoshe >60% ya watalii wanaokuja tanzagiza wanaenda Zanzibar au wanakuja sababu ya zanzibar na unajua contribution ya utalii kwenye economy ya tanzagiza, hivyo kusema tanzagiza haihitaji chochote ktk zanzibar siyo kweli kwanza ni kinyume chake…
 
Tunaenda kuchakata mbususu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…