wanafwata kazi, wengi wameajiriwa huko kwenye tourism isitoshe >60% ya watalii wanaokija tanzagiza wanaenda Zanzibar au wanakuja sababu ya zanzibar na unajua contribution ya utalii kwenye economy ya tanzagiza …
Acha kudanganya wengi wanakuja baada ya kutembelea vivutio kadhaa bara, haswa mlima Kilimanjaro
 
Wengi wanajibu kwa Kutumia Kitabu cha Mwalimu Nyerere..
Uongozi wetu na hatima ya Tanzania ukurasa wa 8..
 
Nafikiri wapatiwe ngunguli nyingine watulie kwa muda kwanza
 
Acha kudanganya wengi wanakuja baada ya kutembelea vivutio kadhaa bara, haswa mlima Kilimanjaro

siyo kweli, ukiondoa zanzibar hakuna utalii wowote wa maana tanzagiza, hata wanaokuja kwenye wanyama ni kwa sababu wanaunganishwa na program ya Zanzibar au hata na kenya lkn tanzagiza yenyewe kama ilivyo ukiondoa zanzibar na kenya utalii utashuka kwa >60% …
 
Wazanzibari walitokea wapi?
Zanzibar Ina Muda mrefu Tangu miaka 1170 huko na Baadaye ikawa chini ya Wareno mwaka 1500s Ikiwa inaitwa zenjibar au Zangibari...

Ila Tanganyika Ilianza mwaka 1918 mpaka 1920 na Iliitwa Jina hilo baada ya Mwingereza kuanza kutawala maana Ilikuwa ikiitwa UJerumani ya Afrika masharika (East African German)
 
Sanawana unawatia hasira. Kwa asilimia 100 Beach za tanganyika kuanzia mtwara hadi Tanga zinaubora wa kuweza kutembelewa. Plus mafia na visiwa vidogodogo. Znz sio ishu sana
hujui kitu dogo
 
Leta takwimu niweke zangu acha porojo
 
Wana roho mbaya sana.
 
Wao wanajikutaga ni waarabu kabisa kwanza hata ukienda kule una dini tofauti unaitwa kafiri
 
Leta takwimu niweke zangu acha porojo

watanzagiza wengi hawajui how poor and backward tanzagiza is, zanzibar inajulikana huko nje klk tanzagiza, ukisema zanzibar kila mtu anajua lkn ukisema tanzagiza watu hawaijui.

bottom line, zanzibar haihitaji bara kiuchumi utalii pekee yake wanaishi, usisahahu zanzibar ina watu milioni moja tu, kuna ndege zinakuja tz sababu zinatua zanzibar…
 
Weak and foolish idea
 
Hivi kule zenj kuna wakuu wa wilaya au mikoa ambao wametokea Tanganyika?. Mbona wanatumia ukali wakati wamehodhi ajira kibao zakisiasa kijamii na hata katika jeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…