Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Acha kudanganya wengi wanakuja baada ya kutembelea vivutio kadhaa bara, haswa mlima Kilimanjarowanafwata kazi, wengi wameajiriwa huko kwenye tourism isitoshe >60% ya watalii wanaokija tanzagiza wanaenda Zanzibar au wanakuja sababu ya zanzibar na unajua contribution ya utalii kwenye economy ya tanzagiza …