Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
Mi bado nashindwa kuelewa
1. Kwanini iliundwa kamati ya muafaka in first place chini ya makatibu wakuu wa vyama vyote viwili? What was the terms of reference? Maana ntashangaa kama terms zilikuwa ni kudiscuss kura ya maoni.
2. Kwanini NEC ya CCM itoe tamko na si ile joint kamati ya muafaka?
3. Kura ya maoni ya nini? Nani asiyefahamu kuwa kuna mpasuko mkubwa wa kisiasa kati ya Unguja na Pemba. Hata mtu akichukua kura zilizopatikana kwenye uchaguzi uliopita na mgawanyiko wa majimbo,hata mtoto ataona kuna tatizo linalohitaji serikali ya mseto. Hivi kwa mfano PNU(Kibaki) angetoa such an absurd option wakati wa reconciliation na Odinga ingekuwaje?

Mi nadhani kwenye mazungumzo hayo ya muafaka kulikuwa na aliyeshika mpini na mwingine makali na hayo ndo matokeo yake.

Out of curiosity kwanini Mkapa, Mwinyi na Salim hawakuhudhuria hicho kikao?
 
mtu wa pwani

hakuna anayeombea mabaya znz,lkn ccm bara ni WASHENZI SANA.

linapokuja suala wakiwa na maslahi yao basi hujifanya DODODMA ndio sehemu YA KUINYONGA ZNZ(unakumbuka issue ya JUMBE,issue ya dr bilali).lakini leo wanasema lazima wananchi watoe maoni yao.
 
wacha damu imwagike ndio itakuwa TIBA MWAFAKA alosema MSANII JK.

Nyimbo mbaya habembelezewi mwana,tuombe yasitokee hayo - itakuwa tiba ya nani? wataoathirika watakuwa ni wananchi wa kawaida si JK wala Seif Shariff.
 
Sasa hapo ndipo kutakapokuwa na kidonge ambacho mtu akimeza au akitema itakuwa hsauri yake. CCM yenyewe haina maafikiano kuhusu issue hiyo ya kuupiga chini muafaka, na CUF will no longer accept to play fool again and again, na kuua watu haitakuwa suluhisho, Mbona Kenya wameaua na hawakupata jibu????

mwafaka ulipatikana. hii ni baada ya kibaki na Mseven kuuwa watu na kugundua kuwa watu walikuwa hawaishi.

akina Zitto na silaa, hata nyie tumia nafasi hii kuonyesha kuwa swala hili sio la cuf tu bali la vyama vyote vya upinzani katika kudai haki yenu. Mkichapa usingizi katika kipindi hiki msimuulize mtu baadaye. waungeni mkono wanaCUF na kulifanya collective demand.
 
mie nnaungana na mheshimiwa Cheyo, wakae kitako waangalie ni vipi watafikia suluhisho.

njia za amani ndio njia za busara, hapa pazito mie nnajua siasa kwa wazanzibari ilivyo.

kuna watu wao hawana kazi zaidi ya kufuatilia siasa.

pia kwa masikitiko yangu nnawatolea ;hawa ndugu zetu wa cuf kwa nn mlienda kuwatangazia wananchi suala lile na kuwapa matumaini mkijuwa wazi hamjafikishia mwisho ndio tuseme mlikuwa mnaweka mazingira ya kutekeleza plan b?

jueni mkiingia barabarani serikali itarudi jambo hilo kwa nguvu na hapo itakua hatari maana hofu yangu wanachama wataaamua kuwavaa wanachama wenzao na kitu hicho si cha kuomba.

vyama mnatakiwa kuweka maslahi ya taifa mbele si kutengeneza mazingira ya kuonekana mnawapenda wananchi ili mpate mtaji wa kisiasa.

muda bado tuombe mungu kikao cha mtendeni kwa watani wetu kije na hali ya amani.
 
mtu wa pwani

yalosemwa waloongea yanatosha,muda wa actions umefika no matter wat.

sometime ili uhuru upatikane lazima wengine wakubali familia zao zikae VIZUKA n.k.

warejee ktk maongezi gani tena jamani?

acha ajenda irejeswhe kwa wananchi waamue wanavyotaka.

na kama CUF watashindwa kuamua hilo,basi wafanye yafuatayo:

-CHAMA KIVUNJWE,seif aendelee kupata mafao yake ya smz.
-abubakar na wenzake waendelee kunenepeana kula per diem za smz ktk baraza la wawakilishi.
-ile ofisi yao ya mtendeni,wawakodishe kikundi cha TAARAB CHA NADI IKHWAN SWAFAA wafanyie mazoezi jioni.
-juma duni na wenzake warudi IFM wakoembe kuwa lecturers.

KHALAS.
 
jamani mungu hasaidiagi watu kama hawataki kujisaidia wenyewe. as we can see now we are heading to self- destruction. in the near future, i see dubya's gunships dockin on the island shores and our beloved islands will be labeled terrorist breeding spot.
 
MoDs.. naomba badilisheni hii heading kwanza ina misingi ya kuchochea hisia za kisasi na mauaji. Hivi kweli kuna mtu anaamini "ni zamu ya Kikwete kuwaua Wazanzibari"?

Maneno kama haya siyo tu ni ya hatari lakini ndiyo ambayo yanataka kutumiwa ili kuivunja JF kwa kuwa jukwaa la kuchochea mauaji! Huwezi kulia "moto" kwenye ukumbi wa sinema uliojaa watu wakati hakuna moto huo!

I strongly protest the sentiments of the heading... kama ni kupinga mawazo ya kura ya maoni naamini ni haki ya kila mtu na kama kuona kuwa kufanyika kwa kura hiyo kwaweza kuleta matatizo hizo ni hoja, lakini kudai fulani anataka kuuawa kundi fulani la Watanzania is extreme to being absurd..
 
mkjj nnaungana na ww, mods msikubali JF ikatumika ilivyotumika mashada kutumika kwa kuchochea fujo na uhasama.
 
MoDs.. naomba badilisheni hii heading kwanza ina misingi ya kuchochea hisia za kisasi na mauaji. Hivi kweli kuna mtu anaamini "ni zamu ya Kikwete kuwaua Wazanzibari"?

Maneno kama haya siyo tu ni ya hatari lakini ndiyo ambayo yanataka kutumiwa ili kuivunja JF kwa kuwa jukwaa la kuchochea mauaji! Huwezi kulia "moto" kwenye ukumbi wa sinema uliojaa watu wakati hakuna moto huo!

I strongly protest the sentiments of the heading... kama ni kupinga mawazo ya kura ya maoni naamini ni haki ya kila mtu na kama kuona kuwa kufanyika kwa kura hiyo kwaweza kuleta matatizo hizo ni hoja, lakini kudai fulani anataka kuuawa kundi fulani la Watanzania is extreme to being absurd..

Kweli kabisa kaka! Hizi lugha za uchochezi hazina nafasi kabisa hususan zinapotolewa tuhuma zisizo na kichwa wala miguu. Hivi kwa nini Kikwete atake kuwaua Wazanzibari? Hoja zingine bana...kwanza hii wala sio hoja...ni upumbavu tu!
 
Kasheshe: watu wenye mawazo kama yako haya ndiyo yanafanya baadhi ya wazanzibari watuchukie sisi wabara na muungano wetu uyumbe. Ni hivi: a country or a nation (as you call it) does not become a country or nation simply by the virtue of the population or a mere geographical positioning. A country is rather a result of a history and struggles for self-determination. Wazanzibar hawakupewa taifa lao na wabara, walilipigania kutoka kwa wakoloni. Tunapaswa kuwaheshimu kama nchi na taifa pia lililohuru na hatupaswi kabisa kuwaamuliwa mambo kama vile wao ni watoto. Blunder kubwa ambaye JK aliifanya ni kufikiri anaweza kutumia mamlaka yake kama Rais wa jamhuri kuwalazimisha jambo wazanzibari; he was wrong and he is still today and it looks like it will take him 100 years to recognise his blunders.

Kitila ,

Nimesoma michango na nimeshindwa kuelewa unazungumzia nini. Kwanza kabisa Zanzibar sio nchi huru inayoweza kujiamulia mambo yake bali ni part ya serikali ya Jamhuri ya muungano . Huu ni ukweli wa mambo na kama wazanzibari watachukia kwa mtu kusema hivyo then let it be. Jee unataka kuniambia ya kuwa Zanzibar leo wanaweza kwenda vitani bila ya consent ya Serikali ya Jamhuri. Sidhani kama muungano wetu unaweza kuyumba kwa kusema ukweli Nadhani ni muhimu tuwe tunachangia hapa huku tukiangalia katiba yetu inazungumza nini... Let us be true to ourselves and face the real picture instead of hallucinating.
 
MoDs.. naomba badilisheni hii heading kwanza ina misingi ya kuchochea hisia za kisasi na mauaji. Hivi kweli kuna mtu anaamini "ni zamu ya Kikwete kuwaua Wazanzibari"?

Maneno kama haya siyo tu ni ya hatari lakini ndiyo ambayo yanataka kutumiwa ili kuivunja JF kwa kuwa jukwaa la kuchochea mauaji! Huwezi kulia "moto" kwenye ukumbi wa sinema uliojaa watu wakati hakuna moto huo!

I strongly protest the sentiments of the heading... kama ni kupinga mawazo ya kura ya maoni naamini ni haki ya kila mtu na kama kuona kuwa kufanyika kwa kura hiyo kwaweza kuleta matatizo hizo ni hoja, lakini kudai fulani anataka kuuawa kundi fulani la Watanzania is extreme to being absurd..

Kwi kwi kwi,

Mwanakijiji unaanza sensorship sasa mwenzangu!

Sidhani kama wasomaji wa JF wanaweza kuamuka na kuanza kupiga watu kwa vile tu wamesoma hapa kuwa mwafaka usipofikiwa Zanzibar basi vurugu zaweza kutokea. Kama kuna watu wanafikiria hivi basi hata ukiwazuia kusema leo basi kuna siku watasema tu kwa namna yao wenyewe.

Having that said, nimekuwa miongoni mwa wanaopinga vita na vurugu Tanzania na ndio maana nikamwomba Kikwete asisifie kuwa ccm pekee ndiyo inatunza amani Tanzania. Katika hili labda ni kweli kuwa hii itachukuliwa kuwa too negative ingawa mimi sikuona hivyo. Huu ni mtizamo wangu binafsi!
 
my dear.. miye naamini katika uhuru wa maoni lakini mkiwa mmerundikana kwenye ukumbi wa sinema halafu mtu mmoja akalia "moto" watu wakaanz kukimbazana na kuuana wakigombea mlango na baadaye mtu huyo akasema nilikuwa natumia "free speech" basi free speech has lot is meaning.

Binafsi naamini pia kuwa yawezekana kuitisha kura ya maoni Zanzibar ikasababisha vurugu zisizo na sababu na hata umwagaji damu usio wa lazima yoyote ile; lakini hii ni tofauti na mtu kusema "ni zamu ya Kikwete kuwaua wazanzibari".

Maneno hayo sidhani kama yana lengo la kutuamsha sisi au wanachama kufanya mauaji hayo lakini yanaweza kabisa kufanya watu wajihami kwa kufanya preemptive strike.

Visiwa vya Zanzibar vimemwaga damu ya kutosha hata kabla ya Mapinduzi, na hatuwezi kuendelea kutawala au kutawalana kwa misingi ya umwagikaji damu kwani kila damu inapomwagika kilio cha damu hiyo huenda kizazi kingine.

Lakini kuna mtego mwingine, JF ni chombo chenye nguvu sana katika kutoa habari na kupasha watu habari na kama tulivyoshuhudia mambo mengine mengi huanzia hapa; sasa itakuwaje mtu akiinukuu JF na kudai "Kikwete ana mpango wa kuua Wazanzibari" na akiulizwa umetoa wapi akasema JF? Na hapa nazungumzia watu ambao hawana muda mrefu wa kusoma internet na wanapitia kwa haraka haraka..

Kama mtu akisema "Kura ya Maoni yaweza kusababisha umwagikaji damu" nadhani laweza kuwa kweli zaidi kuliko kusema "ni zamu ya Kikwete kumwaga damu ya Wazanzibari", kwanza it is put as if it is factual; and secondly, ni kujaribu kumbebesha lawama Kikwete kwa umwagikaji damu as if ana nguvu za mbinguni. Kama kutatokea umwagikaji damu ni makosa ya jamii nzima na vyama vyote viwili vitabeba lawama (japo kwa degree tofauti)
 
Nakubaliana na kauli kuwa mhuni ni mhuni irrespective of his status.
Kuna jambo watu wanajifanya kutolielewa. JK hakuleta muafaka Kenya, Muafaka uliletwa na Marekani. Alichofanya JK ni kupeleka ujumbe wa Bush, period.
Siku moja kabla JK hajaenda Kenya, vyombo vya habari viliripoti kuwa Marekani imesema yeyote asiyetaka muafaka Kenya itamuondoa - loud and clear. Na hapa aliyekuwa anacheza mchezo kama wa CCM huko Kenya, alikuwa ni Kibaki. Ilikuwa wakiafikiana hili, kesho anabadilika kama kinyonga. Lakini baada ya tamko hilo la Marekani na kesho yake JK akalibeba rasmi kuwapelekea Odinga na Kibaki, there was nothing remaining except kwa Kibaki kukubali tu; maana asingekubali, kwa tabia ya Marekani, angeondolewa kwa nguvu na mashtaka juu yake.
Hivyo JK alikuwa messenger tu, period.
 
Talking about Kikwete ndiye aliyefanikisha amani na mwafaka wa Kenya, did I hear people trumpeting this?
 
my dear.. miye naamini katika uhuru wa maoni lakini mkiwa mmerundikana kwenye ukumbi wa sinema halafu mtu mmoja akalia "moto" watu wakaanz kukimbazana na kuuana wakigombea mlango na baadaye mtu huyo akasema nilikuwa natumia "free speech" basi free speech has lot is meaning.

Binafsi naamini pia kuwa yawezekana kuitisha kura ya maoni Zanzibar ikasababisha vurugu zisizo na sababu na hata umwagaji damu usio wa lazima yoyote ile; lakini hii ni tofauti na mtu kusema "ni zamu ya Kikwete kuwaua wazanzibari".

Maneno hayo sidhani kama yana lengo la kutuamsha sisi au wanachama kufanya mauaji hayo lakini yanaweza kabisa kufanya watu wajihami kwa kufanya preemptive strike.

Visiwa vya Zanzibar vimemwaga damu ya kutosha hata kabla ya Mapinduzi, na hatuwezi kuendelea kutawala au kutawalana kwa misingi ya umwagikaji damu kwani kila damu inapomwagika kilio cha damu hiyo huenda kizazi kingine.

Lakini kuna mtego mwingine, JF ni chombo chenye nguvu sana katika kutoa habari na kupasha watu habari na kama tulivyoshuhudia mambo mengine mengi huanzia hapa; sasa itakuwaje mtu akiinukuu JF na kudai "Kikwete ana mpango wa kuua Wazanzibari" na akiulizwa umetoa wapi akasema JF? Na hapa nazungumzia watu ambao hawana muda mrefu wa kusoma internet na wanapitia kwa haraka haraka..

Kama mtu akisema "Kura ya Maoni yaweza kusababisha umwagikaji damu" nadhani laweza kuwa kweli zaidi kuliko kusema "ni zamu ya Kikwete kumwaga damu ya Wazanzibari", kwanza it is put as if it is factual; and secondly, ni kujaribu kumbebesha lawama Kikwete kwa umwagikaji damu as if ana nguvu za mbinguni. Kama kutatokea umwagikaji damu ni makosa ya jamii nzima na vyama vyote viwili vitabeba lawama (japo kwa degree tofauti)

My dear... nimenyosha mikono yote miwili juu katika hili...

Hoja yako imezidi yangu na sipingani kabisaaa na ulichosema. Nakubali kuwa kuna section fulani ya jamii yetu ambayo inaweza kufanya chochote wakati wowote.

Katika hili basi naungana nawe kuwa Title ibadilishwe kidogo ili ifanane na content ya mtoa mada!

kwi kwi kwi.... naona debate hapa ilikuwa kati ya Bill Clinton (wewe) na Kichaka senior (mimi) mwaka 1992. Imebidi niangalie saa yangu kujua ni saa ngapi!
 
Waungwana, swala hili ni tete, nashawishi tuhubiri amani siyo vita. CUF wanapaswa kufanya mapambano ya amani si vurugu, chuki nk. Nasikitika CCM wanavyolichukulia kirahisi suala la Zenj. Ni vigumu kuamini kama Kikwete ndiye alikuwa Mwenyekiti wa kikao hicho.

Wito wangu amani first.
 
Mimi nadhani kwamba Mwanakijiji anaingiwa na uoga bure na maneno haya .Sijaona uchochezi ila kuna kitu kinaitwa Mbinu za Kiswahili .Kuna watu wanatumia maneno kama Kupiga pasi, Kupiga simu , nk .Jamaa kasema zamu ya JK kuwaua jamaa zetu ni jambo ama neno la kawaida kutokana halisi kwamba leo jamaa wakiingia mitaani kwa jina la maandamano ya amani basi inaweza kutokea maafa .Ushahidi upo kamili na watu walisha kufa .Nadhani turudi sasa kwenye mada na mimi napinga neno hilo kueleweka vibaya .
 
Kimbembe, lugha ya kiswahili haina tatizo kwangu kama unavyodhania. Neno "zamu ya Kikwete kuwaua wazanzibari" haina utata wa lugha ya kiswahili.
 
Back
Top Bottom