Mbangaizaji
Senior Member
- Jul 23, 2007
- 121
- 63
Mi bado nashindwa kuelewa
1. Kwanini iliundwa kamati ya muafaka in first place chini ya makatibu wakuu wa vyama vyote viwili? What was the terms of reference? Maana ntashangaa kama terms zilikuwa ni kudiscuss kura ya maoni.
2. Kwanini NEC ya CCM itoe tamko na si ile joint kamati ya muafaka?
3. Kura ya maoni ya nini? Nani asiyefahamu kuwa kuna mpasuko mkubwa wa kisiasa kati ya Unguja na Pemba. Hata mtu akichukua kura zilizopatikana kwenye uchaguzi uliopita na mgawanyiko wa majimbo,hata mtoto ataona kuna tatizo linalohitaji serikali ya mseto. Hivi kwa mfano PNU(Kibaki) angetoa such an absurd option wakati wa reconciliation na Odinga ingekuwaje?
Mi nadhani kwenye mazungumzo hayo ya muafaka kulikuwa na aliyeshika mpini na mwingine makali na hayo ndo matokeo yake.
Out of curiosity kwanini Mkapa, Mwinyi na Salim hawakuhudhuria hicho kikao?