Liz Senior
JF-Expert Member
- Apr 19, 2007
- 483
- 53
Dk. Migiro either ameboronga au amekuwa misquoted.
Nchi haiwezi kuwa mwanachama wa UN kama nchi hiyo si nchi sovereign, that is true.
Lakini at the same time kutokuwa mwanachama wa U.N hakumaanishi kwamba wewe si nchi sovereign. U.N ni taasisi ya kimataifa kama nyingine nyingi, kuna nchi sovereign kama Switzerland ambazo kutokana na principles zake za neutrality na interests zake za banking zimeamua kutokuwa member wa U.N and many international organizations such as the E.U, NATO, SHENGEN and what not.Hii ni kwa sababu wa Swizi hawataki mikataba ya taasisi hizi iwafunge, hawataki ku abide to U.N resolutins ambazo zinaweza kuwa na implications kwenye banking industry yao na vitu kama hivyo.
Kwa hiyo kuleta issue ya uanachama wa U.N, which insinuates that as a criteria ya ku determine kama Zanzibar ni nchi au siyo at best ni upotoshaji.
Mwandishi anaruka left right and center lakini haja address swala muhimu, nini kinafanya nchi kuwa nchi?
Exactly my point,
Unless she is fishing to be misquoted, her entire statement is pointless and rationale is invisible.
What was her point in stating the obvious? tell us something we don't know, or something that has controversy, but unless you are exposing yourself to be misquoted, what is the point of saying "Tanzania is a U.N member state, Zanzibar is not" if you are really not trying to send a subliminary message to the Zanzibaris in the first place?
Then unakuta muandishi aliyesomea Ilala School of Journalism ambaye haujui mlango wa library una rangi gani, ana quote sensationally, then unamkuta airhead mmoja huko Zenj kama Shamhuna, anamburuza huyu mama naye kwenye mijadala ya local politics.
Huyu mama alitakiwa kunyamaza tu kuhusu hii issue, ama sivyo atajua Tanzania watu hawana akili au adabu, bahati yake hawajaidaka hii.
Mkuu Pundit ninatatizika kidogo kuhusu SCHENGEN, hiyo nayo hii ni organisation au ni makubaliano? Naona kama hii post imekaa upande kidogo.
Makubaliano ni organization, you have to organize to reach an agreement, you cannot reach an agreement in chaos.
The english meaning of the word organisation has been hijacked by the conventional meaning, which is institution.
Sawa Mwiba. Hivyo Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Lakini Biharamulo si sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bali ni sehemu ya Tanzania Bara ( au Tanganyika), Tanganyika(au Tanzania kama watu wanavyotaka iwe) basi ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama vile ilivyo Zanzibar.Mbona dogo hilo ,ni rahisi unapoulizwa unatoka nchi gani ukasema ninatoka Tanzania na ikawa umemaliza na uliemjibu ikawa ameridhika ingawa hakuna Nchi inayoitwa Tanzania.
Ila ikiwa suala hilo hilo umeulizwa na msomi anefahamu Jiografia atakuuliza Tanzania bara(MainLand) au Zanzibar (Visiwani ) na ninaposema hakuna nchi inayoitwa
"Hijack".....your favorite word.....
And what's up with that Johnston & Murphy....you ain't feeling Florsheim?
Huyu under-secretary vipi? yuko likizo au yuko kikazi na kwa mwaliko wanani? huko mwanza alienda kuonana na joseph koni au alikuwa anakagua makambi ya wakimbizi? kama anataka kuvalianjuga suala la pemba akaliongelee makunduchi!
hahaha, huu uchochezi, ndo mnachochea zaidi ili wajitenga au vipi.
hii ni opportunity kubwa kwa wakenya, wanaomba usiku na mchana ili tz kuwe na machafuko ili tufanane, mbona wanaleta ushabiki kwenye ishu zetu? waende zao huko. matatizo ya tz na zbr tunayajulia sisi wenyewe.
kama ulishawai kuwakuta ma identical twins sehemu wanapigana, ukaamua kumpiga mmoja wao, wote huwa wanakuja juu na kusaiidiana kukupiga wewe hata kama ulikuwa na nianzuri ya kuwaamulia. sasa, wakenya waache mambo ya kitz tutayamaliza sisi wenyewe. kwanza issue yetu ni ndogo sana, hata haiwezi ikafika kama yao ya kuchinjana..sisit tutasolve wenyewe. siku zote wakenya wanapend sana ushindani na watz, hawapendi siku zote watz waonekane ni washini wa amani kuliko wao. nendeni zenu na ukabila wenu.
Just out of sheer curiosity...
Was this article published in the Daily News for real?
if that is the only option, so be it! tumechoka na kutafunwa huku tunapulizwa, ila nadhani serikali tatu pia ina uwezo wa kuifanya zanzibar ijitangaze kama itapewa mfumo wa serikali ya tanganyika na zanzibar kuwa serikali huria kuendesha mambo yao na serikali kuu ya muungano kupewa hadhi ya kusimamia baadhi ya mambo fulani tutakayokubaliana., najiuliza suali , je tukiiuliza tanganyika ni kwanini inaushikilia huu muungano na kuubembeleza sana, nitajibiwa nini? (something going on underground)Heshima mbele mkuu.
Lakini, iwapo Zanzibar itarejeshewa hadhi yake kimataifa, bado Muungano utakuwepo? Kwa misingi gani? Au hoja yako ni kutaka Muungano uvunjwe lakini umeamua kuipresent kivingine?