Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
muungano huu unang'ang'aniwa na viongozi wa huku kwetu Tanganyika. lakini hakuna Mzanzibar anaeutaka muungano, cha kuwauliza viongozi wa upande wa Tanganyika ni maslahi gani yaliojificha wanayonufaika nayo kwa kimvuli cha muungano?
Maslahi pekee watakwambia ni urithi wa waasisi wa Taifa letu, wakati huohuo wanafanya ufisadi bila kuwaogopa waasisi haohao.
 
Nakupa tatizo ambalo wazanzbari imefikia kuwakashifu na kuwafikiria vibaya na kuelewana vibaya,unajua zanzibar toka uje mfumo wamuungano kuna dhambi kubwa sana zimefanyika zanzibar,watu wamekufa,wamezalilishwa,wamebakwa,wengine wameambukizwa ukimwi kwa kubakwa watoto wadogo,yote ni muungano.

Zanzibar jeshi liliopo pale ni la muungano,hakuna hata mzanzibari mmoja pale,wazanzbari wakiajiriwa jeshi wanapelekwa mikoani,hivi nikuulize wewe kama ungelikuwa mzanzbari anakuja mtu kutoka huko bara arusha au morogoro na yeye mwanajeshi anakuja kubaka mama yako mbele yako au baba yako au kaka yako analaitiwa,au ndugu yako utafeeel vipi ? Utajisikiajee ?

Inauma sana sana,ndo maana wazanzbari hawautaki muungano hata uwe wa misingi gani,wameshatosheka na mazima na dhambi walizofanyiwa,kwa hiyo ndio tunakuta viongozi wetu wametujea chuki kati yetu,wao wanakula raha sie tunakashifiana.

Hayo ndo muhtasar nakuekea video uwone kidogo tu wazanzbari wanavyoteshwa na muungano.
http://www.youtube.com/watch?v=8vTs4Ue2cPs

NGALIA DAMU KATIKA floor

Na nyengine hiii

YouTube - Tanzania Police Brutality: Zanzibar Nov 2005 (Part 2)

Jee kama ni wewe nchi yako utakubali ? Utakubali atoke mkenya huko aje akunyanyase wewe ndani ya nchi yake ? AU aje mburundii ?
HAKIKA wazanzibari ni haki yao kupigania nchi yao kupata uhuru.
Hiyo ni jazba ya kibaguzi tu hauna lolote.... Mbona huku bara wanajeshi na maaskari hawana asili na maeneo wanayofanyia kazi, mfano bazazi Andengenye ni mnyakyusa lakini anaongoza mkoa wa Arusha na hatujasikia askari wake wanabaka wananchi kama unavyojaribu kutuaminisha. Nyie wazanzibar ni wabaguzi na wavivu wa kufanya kazi matokeo yake mnatafuta watu wa kuwalaumu. Natamani muungano uvunjwe hata kesho kila mtu afe kivyake.
 
Kama viongozi wenu ndo tatizo, basi mwahitaji mapinduzi kwa mara ya pili!
 
Nadhani suala la katiba mpya litatupa fursa ya kuimarisha Muungano wetu.Kuna watu wanaongelea mgawanyiko,dunia sasa hivi watu wanaongelea intergration kwa faida ya watu.Sisi tunaongelea partition.

Hoja za muungano zinahitaji busara ya hali ya juu kwa pande zote mbili .Muungano uwe na tija kwa pande zote.Zanzibar imekaa katika Jiografia nzuri kimkakati halikadhalika Tanzania Bara

Tusije tukafanya makosa tukaja kuwa na Taiwan Yetu au China.Kwa wale waliosomea masuala Foreign policy and Defence strategies wanaelewa ninachosema.Maofisa wetu wa Usalama wa Taifa kama wanatumia brain na wako visionary wanatakiwa kulifanyia hili kazi kwa maslahi ya pande zote mbili.Economic intelligence unit nao wanatakiwa wafanye kazi ya ziada
 
Hivi sasa Muungano umekuwa kero kubwa kwa jamii ya ki-Zanzibar na hata tuupambe vipi Muungano huu haupambiki kwa vile umepoteza mapenzi na zamira ya Muungano kwa Wzanzibar.
Zamira ya Muungano sio kungana Wzanzibar kwa kupoteza utaifa wa nchi yetu kwa kishingizio kuwa Wzanzibar ni kidogo ukilinganisha na mkoa mmoja wa Tanganyika.
Hakuna nchi hata moja ulimwenguni ilio ungana na kukubali kuuwa utaifa wa nchi yake,utasikia tu kuwa Muungano wetu niwapekee na kupigiwa mfano wapi? Wadanganyeni na kuwa-fullish ccm/smz Dodoma lakini sio Wzanzibar wote ni wapumbavu wakukubali kumezwa nchi yao.
Kama Muungano huu nimzuri kusingalikuwa na Muungano wa AU wangeweza kujiunga huu huu kwa vile ni mzuri na tayari upo?.Au kungekuwa na nchi africa wakashukuwa mfano huu na kunganicha nchi zao na majirani zao?.
Mimi hushangazwa na Wabara kusema Muungano umeuwa nchi yao lakini bado wameungagania? na husema Wzanzibar ukivunjika Muungano watapata tabu kwa vile kila kitu wanategemea kutoka Bara na nchi yao ni ndago haifiki hata mkoa moja wa Bara ? lakini wao ndio wenye kungagania Muungano Muungano na kufika hadi kukubali jinchi lao na ukubwa wake kusiwe na Raisi kuwe na Governor why? sisi Zanzibar tulisema ni katu nchi yetu kuletewa Governor.
Mimi nasema Muungano umechakuwa expiry date na wakati wwte unaweza kuvunjika nisawa na Bomu lililokwisha tolewa fuse, tunangojea Baraza la Wawakilishi wapitishe kura ya maoni ikifika kwetu Wzanzibar jawabu vunja Muungano.
Hivi sasa viongozi wenyewe wa SMZ tabani nafsi zao tumewakaa naroho wananchi kuwa press wapitishe hilo tuvunje Muungano. kila Muwakilishi katika jimpo lake kuna waka maneno ni kuvunja Muungano tu, maana utaskia marekebisha ya katiba sisi Wzanzibar yatatusaidia nini wakati Muungano wenyewe wameuchafuwa wa Bara na kuwa Fake?.

Kila jimpo hivi sasa linawaka Zanzibar kuwashika Wawakilishi wapitishe mswada wa kura ya maoni kwa Wzanzibar kuhusu Muungano na jawabu tunalo la noooo.
Juu yakuwa Wtanganyika wanasema Wzanzibar nikidogo na hatufiki hata mkoa mmoja wa Tanganyika lakini historia ndio muhimu kuwa Zanzibar ni nchi na itaendelea kuwa nchi historia yeke ya kuwa nchi tokea miaka ipo na hakuna mtu yoyote awezae kuifuta subutu.
Na tukiamua kesho kupiga kura ya maoni kuvunja Muungano basi kesho kutwa UN inatangaza kuwa Zanzibar imeshukuwa kiti chake ktk Umoja wa Mataifa na haito tangaza kuwa UN imepata mwanachama mpya kama vile Sudani ya Kusini laa itasema kwa Zanzibar imerudi tena katika uwanachama wake wa UN, Sasa tuangalie mutatuvamia kijeshi? sisi tunasubiri tufanye hivyo halafu muduvamie kijeshi na ulimwengu utangaze kuwa bada ya Wzanzibar kuamua kujitowa ktk Muungano Tanganyika imewavamia kijeshi?.
Turufu ya VETO tunayo wenyewe Wzanzibar hatujataka tu kuitumia, tuitumieni ili tuondokane na hawa matapeli.Mungu ibariki Zanzibar na Kizazi chake.
 
Umeona mkuu, hawa jamaa kila siku wanakuja na maneno ya kashfa wakati wao wana serikali huru... wapelekeni mswaada wa kukataa muungano kwenye baraza lenu, muupitishe na muue huu muungano hamlazimishwi kuendelea kuwa na tanzania...:bored:
Ushitaki Muungano kwenye"nguvu ya umma" ili iwe moja ya agenda zinazowakera katika Maandamano ya nchi nzima!
 
Kazi kwelikweli, sina hakika kama kuna Mtanganyika wa sasa ambaye bado anashida ya kushiriana na hawakina bonyeee, mdebwedo.
 
Nadhani suala la katiba mpya litatupa fursa ya kuimarisha Muungano wetu.Kuna watu wanaongelea mgawanyiko,dunia sasa hivi watu wanaongelea intergration kwa faida ya watu.Sisi tunaongelea partition.

Hoja za muungano zinahitaji busara ya hali ya juu kwa pande zote mbili .Muungano uwe na tija kwa pande zote.Zanzibar imekaa katika Jiografia nzuri kimkakati halikadhalika Tanzania Bara

Tusije tukafanya makosa tukaja kuwa na Taiwan Yetu au China.Kwa wale waliosomea masuala Foreign policy and Defence strategies wanaelewa ninachosema.Maofisa wetu wa Usalama wa Taifa kama wanatumia brain na wako visionary wanatakiwa kulifanyia hili kazi kwa maslahi ya pande zote mbili.Economic intelligence unit nao wanatakiwa wafanye kazi ya ziada

Hizo sababu unazozieleza ndio zilizopelekea hapa tulipo. Tatizo kizazi cha sasa kwa pande zote hakiko tayari kwa Muungano huu. Wazanzibari wanachotaka ni uhuru wa kujiamulia mambo yao na Watanganyka wanataka kuona Zanzibar haipigi hatuwa ni sawa na yule aliesema kuwa mmoja anapanda ngazi mwengine anashuka. Kama miaka zaidi ya 47 kumeshindikana utatuzi unafikiri ni rahisi kupatikana sasa?
China na Taiwan zina historia tofauti na yetu, wao ndio wwao kwa wao lakini sisi ni tofauti hata kitikadi na kimaisha.
 
Kazi kwelikweli, sina hakika kama kuna Mtanganyika wa sasa ambaye bado anashida ya kushiriana na hawakina bonyeee, mdebwedo.
Sijui!! Lakini hadi sasa halijawa kati ya mambo yanayopigwa vita na Watanganyika. Nimesikia Dowans, umeme, kupanda maisha, ufisadi na Katiba mpya! Ama hili la Muungano silioni CHADEMA na nguvu yao ya umma wala UVCCM na mikakati ya ufisadi.
 
Sijui!! Lakini hadi sasa halijawa kati ya mambo yanayopigwa vita na Watanganyika. Nimesikia Dowans, umeme, kupanda maisha, ufisadi na Katiba mpya! Ama hili la Muungano silioni CHADEMA na nguvu yao ya umma wala UVCCM na mikakati ya ufisadi.

Kwa chadema nawezasema wanawapuuza na kuwaona wanalalamika kama mtoto aliyedekezwa (a.k.a mtoto wa mama), uvccm kama hukumbuki mulize masauni atakukumbusha kilichompata.
 
Yaani,natamani.....kwanini zanzimba lakini inatunyonya hivi?
 
mapenzi na zamira ya Muungano

...
kwa kishingizio ...

africa wakashukuwa mfano

kunganicha
nchi zao ...

bado wameungagania? ...

nchi yao ni ndago ...

Muungano umechakuwa expiry date ...

wa SMZ tabani nafsi zao

tumewakaa naroho
wananchi ...

katika jimpo lake ...

marekebisha ya katiba ...

wenyewe wameuchafuwa ...

Kila
jimpo ...

wapitishe mswada ...

Zanzibar imeshukuwa kiti ...

tuangalie mutatuvamia kijeshi? ...

halafu muduvamie kijeshi ...

kuamua kujitowa
“My heart prays for him, though my tongue do curse.”

William Shakespeare
 
Abdulahsaf,

Waambie viongozi wako wa ccm na cuf huko unguja, hata sisi huku bara hatuutaki pia, muungano huu umekuwa kero huku kwetu bara, huku tuna asili ndio maana tunawavumilia, hizo damu zenu za kitumwa zimekuwa kero, kama wewe unayejiita Abdulahsaf ni asili ya kitumwa tu ndio inakusumbua kwa kutaka uarabu, tatizo lilipo kwa upande wenu huko Zanzibar hakuna wa kukusikiliza, Shein mpemba haelekei kama ana hulka ya kutaka uarabu, Maalim keshapata ulaji, Seif Idd mnyamwezi sijui yupi atakayekusikiliza. USIKATE TAMAA:help:
 
Waliofariki dunia Loliondo wafikia 78

Hii ina mvuto kidooogo kuliko hii yako ya kiurojo-urojo!






afarikiloliondo.jpg
Baadhi ya ndugu wakiwa wamebeba mwili wa marehemu Rukia Rajabu mkazi wa Kondoa, baada ya kufariki wakati akisubiri kupatiwa dawa ya Mchungaji Ambilikile Mwasapila katika kijiji cha Samunge Loliondo juzi.

Neville Meena na Mussa Juma, Samunge
IDADI ya watu waliopoteza maisha wakienda kupata tiba ya magonjwa sugu kwa Mchungaji Ambilikile Mwasapila katika Kijiji cha Samunge, Loliondo Wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha imefikia 78.Habari ambazo Mwananchi limezipata na kuthibitishwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Dominick Lusasi jana zinasema idadi ya vifo hivyo ni ile iliyorekodiwa kuanzia Machi 11, mwaka huu."Kati ya Machi 11, mwaka huu tulipoanza kuchukua rekodi za waliokufa na Machi 29, watu 74 walikuwa wamethibitishwa kufariki dunia, lakini hivi karibuni nilipata taarifa kwamba watu wengine wanne wamefariki," alisema Lusasi.
Hata hivyo, idadi hiyo inaweza kuwa ndogo kuliko uhalisia kwani upo uwezekano mkubwa kwamba wapo waliofariki dunia na vifo vyao havikurekodiwa tangu watu walipoanza kufurika Samunge mwishoni wa Januari ,mwaka huu hadi Machi 11, 2011 utunzaji wa kumbukumbu ulipoanza.

Kwa mujibu wa uongozi wa Kijiji cha Samunge, watu 19 wamelazimika kuzikwa kijijini hapo kutokana na ama maiti kukosa ndugu au ndugu kutokuwa na uwezo wa kusafirisha maiti hivyo kuomba msaada wa Serikali.

Majina ya waliofariki Miongoni mwa waliopoteza maisha ni mke wa Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mama Parceko Vincent Kone (55), watoto saba akiwamo mtoto wa miaka miwili, Bokye Mwilenyi Magoli, mkazi wa Kyang'ombe, Wilaya ya Rorya, mkoani Mara aliyefariki dunia Machi 25, 2011 sambamba na wagonjwa wengine 10 waliofariki dunia siku hiyohiyo.

Taarifa ya Idara ya Afya ya Halmashauri ya Ngorongoro inawataja watoto wengine waliofariki dunia wakiwa Loliondo kuwa ni Fatma Hussein (5), mkazi wa Msambi - Kileche, Mwanga, Kilimanjaro; Athumani Omari (7), mkazi wa Ntiko, Singida; Tumaini Samson (10), mkazi wa Sengerema, Mwanza; Lesian Yuton (12) mkazi wa Dodoma Mjini na Jescar John (16) wa Dar es Salaam.

Mtoto mwingine aliyefariki dunia ni raia wa Kenya, Maximilian Shuku (12), mkazi wa Narok na raia mwingine wa nchi hiyo, Nori Makati (46) ambaye ni mkazi wa Usupuko.Kwa mujibu wa taarifa hiyo, siku inayoongoza kwa vifo vingi ni Machi 24, 2011 ambayo watu 15 walipoteza maisha, ikifuatiwa na Machi 25 ambayo ilishuhudia wagonjwa kumi na moja wakifariki dunia hivyo kufanya jumla ya waliopoteza maisha kwa siku hizo mbili tu kufikia 26.
Majina ya watu wengine waliofariki dunia, umri na wanakotoka katika mabano ni Hassan Ally Tarimo (38- Moshi Mjini), Agness Costantine (43-Singida Mjini), Alex Godii (45 - Mererani, Manyara), Masinyari Nuhu (80 - Engaruka, Monduli), Daudi Shanu (31 -Moshi), na Holo
Nigha (40 - Kishapu, Shinyanga).

Wengine ni Grace Somi (59 -Moshi Mjini), Eva Sumaye (65 - Lekamba, Arusha), Hadija Wambura (30 - Tarime, Mara), Juma Ally (45 - Tanga), Fatuma Shaban (54 - Ngara, Kagera), Mrs Moshi (60 - Msagara, Moshi), Donald Msele (47 - Misungwi, Mwanza) na Mama Ndossi (70 - Bomang'ombe, Moshi). Wengine ni Okonbo Oguyi (78 - Musoma Vijijini), Stella Hagai (43 - Dar es Salaam), Diana Munisi (20 -Hai, Moshi), Flora Assenga (42 - Chumbageni, Tanga), Steward Mgosingwa (86 -Muheza, Tanga), Shanuel Mushi (22 - Lyamungo, Hai), Penina Wiga (38 - Shirati, Rorya) na Mwajuma Ramadhani (72 - Dodoma Mjini).

Margaret (35 - Rorya, Mara), Eliashenya Bilingi (78 - Meru), Steven Haule (53-Majengo, Tabora), Mary Sindani (38 - Manyoni, Singida), Ngangi Nana (70-Milima Meru), Kabula Kazungu (24 - Nyanguge, Magu), Elizabeth Emmanuel (74 - Arusha) na Jaston Kusoma (35 - Katesh).

Norbert Kudome (33 - Moshi), Philipo Jalo (35 - Mwanza), Stella Mwanyemba (42 -Busali, Kyela), Haikaeli Msocha (62 -Mlalo, Lushoto), Joy Rose (36 - Msanga, Chamwino), Hamis Kazyoba (70 - Kahama, Shinyanga), Mjaledi Munka (65 - Makete, Iringa), Esther Rutainyu (49 - Biharamulo) na Mwanahamis Rajabu (32 - Tabora Mjini).
Katika orodha hiyo pia wamo, Mwanaisha Isaka (70 - Dodoma Mjini), Rehema Sadalla (30 - Kiteto, Manyara), Emmanuel Napengwa (68 - Ilala, Dar es Salaam), Amina Kimweri (62 - Makanara, Korogwe), Butondo Mbuje (26 - Manyoni, Singida), Elise Mandari (76 - Mamba Kusini, Moshi), Jonathan Mnyiremi (Sorya, Manyoni) na Elisaria Urio (50 - King'ori Arumeru).

Wengine ni Shafu Muya (30 -Korongoni, Moshi), Paschal Shaghembe (47 - Geita Mjini), Bertha Muro (78-Machame, Hai), Lucas Machimo (56 - Ugogoni, Korogwe), Magdalena Kalole (35- Kimara, Dar es Salaam), Charya Mashishi (45 - Usanga, Maswa), Josephine Robert (34-Murukurazo, Ngara), Asha Nkinda (65 -Tanga Mjini) na Lyidia Msuya (78 - Kimara, Dar es Salaam).

Wagonjwa wengine waliofariki ni Paulina Portea (65 - Ganako, Karatu), Alemwene Mwakatobe (69 - Mwanjelwa, Mbeya), Marieta Mandwa (56 - Shinyanga), Masalu Nhelegani (65-Nyangokolo, Bariadi), Emmanuel Mang'arai (56 - Arusha), Amina Chuwa (86 - Uru, Moshi), Eliadi Mariki (40 - Mwika, Moshi Vijijini) na Mmoja Juma (25 - Bukumbi, Tabora).

Mwishoni mwa wiki iliyopita, Mwananchi lilishuhudia baadhi ya watu katika Kijiji cha Samunge wakiwa wamebeba maiti ya mwanamke aliyetambuliwa kwa jina la Rukia Rajab, Mkazi wa Kondoa wakati majina ya watu wengine wanne waliofariki dunia bado hayajatambuliwa.Kadhalika, mmoja wa maiti ambazo majina yake hayakutambuliwa alifahamika kuwa ni mkazi wa Biharamulo, mkoani Kagera.

Sababu za vifo
Lusasi alisema kwa mujibu wa taarifa za madaktari, vifo vingi vimesababishwa na magonjwa ya kisukari, pumu na shinikizo la damu. "Wagonjwa wengine walikuwa wakifika Samunge unamwangalia na kumwona kuwa huyu alikuwa amewekewa drip, lakini yuko pale akiwa kwenye foleni akisubiri kwenda kwa Mchungaji kunywa dawa," alisema Lusasi na kuongeza:
"Sasa katika hali hiyo kama mgonjwa ni wa kisukari, wengi walipoteza maisha kwani hata vyakula walivyokuwa wakila pengine havikuwa vikikidhi matakwa ya ugonjwa husika."Alisema katika kukabiliana na hali hiyo, waliimarisha huduma za afya katika Zahanati ya Kijiji cha Samunge kwa kuongeza watumishi wa afya na dawa za magonjwa hayo lakini akasema watu walikuwa hawajitokezi hadi pale hali zao zilipozidi kuwa mbaya.

Alisema zahanati hiyo pia imekuwa ikipewa mgawo mkubwa wa dawa nyingine kutokana na kuongezeka kwa mahitaji na idadi ya wagonjwa kuongezeka.Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi kwa siku kadhaa umebaini kuwa baadhi ya wagonjwa walichukua dawa za siku chache wakitaraji kwamba wangetumia muda mfupi kupata kikombe cha Babu, lakini kinyume chake walijikuta wakikaa kwenye foleni kwa muda wa kati ya siku saba na kumi na moja.

Kutokana na kuwapo kwa dalili za tiba ya Mchungaji Mwasapila kuendelea kwa muda mrefu, Lusasi alisema Halmashauri ya Ngorongoro inakusudia kujenga chumba kidogo cha kuhifadhia maiti katika Zahanati ya Samunge ili kukabiliana na tatizo la maiti kuzikwa kabla ya ndugu zao kufika kuwachukua.

Alisema sababu nyingine iliyochangia vifo hivyo ni kuzibwa kwa barabara kiasi kwamba gari la wagonjwa lililopelekwa na halmashauri kushindwa kuwasadia wale waliokuwa wamezidiwa."Gari lile mara kadhaa lilijaribu kupenya, lakini lilishindwa kutokana na watu kukataa kulipa nafasi, tulijaribu kila njia, kuweka mabango kwenye gari, kuweka bendera na hata kutumia kipaza sauti kutangaza lakini ilishindikana," alisema Lusasi.
 
Wee kweli "ahmada umelewa" ivi kuvunja muungano nayo yataka kura za maoni? Na gharama za hiyo kura then zibebwe na nani, Tanganyika au?
 
Hakuna watu wasiotumia akili na hekima kama wazanzibari!! Ukiambiwa una akili finyu kama mzanzibari pigana hadi ufe, au jinyonge!!
 
mimi nafikiri afrika tunapaswa kufikiria zaidi umoja kuliko kutengana. kikubwa ni wazanzibari kutumia nafasi yenu kupigania maslahi yenu kwenye katiba hasa swala la serikali tatu.
 
wote tunajua umoja ni nguvu utengano ni udhaifu .ila inafikia sasa kipindi inabidi tukubali ukweli huu MUUNGANO NI KERO TENA KUBWA SANA MASIKIO MWANGU NAAMINI KUNA WENZANGU WANA MTAZAMO KAMA WANGU,SISI WATANGANYIKA TUNA NIA YA DHATI SANA NA WALA HATUWAJAWAHI KUCHOKONOA SANA KUHUSU MUUNGANO KWA SABABU NDUGU ZETU WANZANZIBARI WANAONA KUWA TUNAWANYONYA NA SISI KAMA WATU WENYE BUSARA NA MAPENZI MEMA NA WENZETU TUWAACHE WAJITENGE WAFANYE WANACHOFIKIRIA. KWA KWELI MI NAONA NI DHAMBI KUBWA KUKAA NA MTU HALAFU ANANUNG'UNIKA ETI MMEUNGANA MMEUNGANA NINI WAACHE WAENDE TU JAMANI WAKAJIFUNZE WATARUDI TU .
 
Back
Top Bottom