Pundit
JF-Expert Member
- Feb 4, 2007
- 3,733
- 141
Kwa vyovyote atakuwa aliombwa na somebody kusema something, kwenye kuvutia upande wa waliomuomba, that is all na hao waandishi ukute tayari walishapewa something, maana hiyo siku hizi bongo imekuwa ni kawaida waandishi kupewa mgawo kabla ya mkutano nao!
It could very well be so,
I am not putting that past our journalists. Watu wanakuuliza halafu ukijibu wanaandika kama umesema.Kusema na kujibu ni tofauti kubwa na inaweza kumaanisha north or south pole.
Ndiyo maana magazeti yaliyoendelea huwa wana qualify na statement kwamba "He was responding to a question by......"