Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Copy inasaidia nini leteni OG kama mnajiweza kiuchumi na kiulinzi. 😂😂😂si mnakopi? Ikulu yupo ndugu yenu maana ameficha yeye
Kazi ingekuwa ngumu Sana kwasabb mipaka ya Zanzibar ni bahari kuu. Hivyo sehemu kubwa iko wazi.Kazi ya JW ni nini?
90% ya wanaccm hawautaki muungano fakeHakuna Mtanganyika mwenye akili timamu anaweza kuukubali huo muungano wa hovyo kabisa.
Ni ccm pekee na serikali yao ndiyo wanaupigania huo muungano kwa gharama yoyote ile.
Nyie ambao sio CCM mmetoa mchango gani katika kujitoa na muungano huu?Hakuna Mtanganyika mwenye akili timamu anaweza kuukubali huo muungano wa hovyo kabisa.
Ni ccm pekee na serikali yao ndiyo wanaupigania huo muungano kwa gharama yoyote ile.
Wazanzibar ni wavivu hawezi kupigana na mtu yoyote ni uongoKazi ingekuwa ngumu Sana kwasabb mipaka ya Zanzibar ni bahari kuu. Hivyo sehemu kubwa iko wazi.
Hakuna manufaa yoyote.Tujadili kwa hoja sasa,
Hivi tuuseme ukweli kabisa ni nini faida mtanganyika anaipata kutokana na muungano na zanzibar?
Maana kwa mfano mzanzibar bodi ya mikopo zanzibar anapata mkopo na akifika tanganyika anapata tena mkopo,
Mzanzibar anapata ajira yoyote tanganyika lakini mtanganyika hapati kazi yoyote kule zanzibar.
Mtanganyika kununua na kumiliki ardhi zanzibar ni shughuli pevu sana lakini mzanzibar ananunua ardhi, mashamba na kadhalika tanganyika
Mtanganyika huwezi kupata kitambulisho cha mzanzibar ili uwe na haki sawa na mzanzibar wakati huo mzanzibar analamba kitambulisho cha NIDA na kile cha uzanzibar yaani kiufupi mzanzibar ana uraia pacha kwa wakati mmoja, ana uraia wa zanzibar na anamiliki haki ya uraia wa tanganyika,
Mtanganyika kuingia zanzibar kama sio kuonesha passport basi uwe na kitambulisho ndio utaruhusiwa kuingia kwao lakini wao huingia tanganyika bila kitambulisho,
Halafu wao wakitamka neno zanzibar sio kosa wewe mtanganyika ukitamka mimi mtanganyika ni kosa ambalo halina kifungu cha sheria zaidi utaanza kuambiwa wewe mchochezi unavuruga amani na blah blah kibao
Mtanganyika hauwezi kuteuliwa nafasi za mkurugenzi, mkuu wa wilaya, kule zanzibar lakini wao wanateuliwa na wanalipwa na tanganyika, hadi mafao watalipwa
Mtanganyika huwezi kugombea cheo kule zanzibar lakini wao ruksa kugombea tanganyika,
Muungano huu kiukweli hauna usawa na watanganyika wamechoshwa kunangwa kila leo na wanasiasa wa zanzibar kuonekana kwamba watanganyika wanalazimisha muungano wakati ukweli hata uitishe kura ya maoni leo hutopata mtanganyika wa kuunga mkono muungano na kwanza kuna watanganyika wengi vijijini hawajui kama Zanzibar ni nchi wao wanajua zanzibar ni mkoa,
Hizi ndoto za kijiweni, Zanzibar iwe kama Dubai?😄😄😄😄Wewe mpuuzi unajua nini wanaposema ULINZI NA USALAMA? Zanzibar ikiachwa haichukui round inakuwa kama Dubai... ni hatari sana
Huo ndio uongo mnaojazwa 🤣,mpemba kwa % ndio hataki muungano na ndie mbaguzi,waunguja wako half half kwenye suala maana muunguja hata huko pemba anabaguliwa ila mpemba anapeta tu akiwa unguja,siku muungano ukivunjika mpemba tamaa yake achukue visiwa vyote unguja na pemba na ndio tumbatu,kunduchi,kojani nk watakapoukumbuka huu muunganoWewe mpuuzi unajua nini wanaposema ULINZI NA USALAMA? Zanzibar ikiachwa haichukui round inakuwa kama Dubai... ni hatari sana
90% ya wanaccm hawautaki muungano fake
Hakuna mtu mwenye akili timamu anataka huu upuuziHata wanachama wa kawaida wa ccm hawautaki muungano
Huo ni mfano tu sio lazima iwe sukari, chochote unachochukua Znz kikija Hapa Kodi inakuhusu.Kile kiwanda hakizalishi sukari ya kutosha mahonda wanaimport sukari bei rahisi kutoka uarabuni halafu wanafanya packaging kwa label zao, hiyo ilifanya serikali ikawapiga bann kuingiza aina hiyo ya sukari huko bara,
Kwani wanaomwagwa na Dp world si ni hao hao ?!. Na mmekabidhi rasilimali muhimu. MtawadhibitiJe ?! Kama lengo lilikuwa ni usalama!!Wewe mpuuzi unajua nini wanaposema ULINZI NA USALAMA? Zanzibar ikiachwa haichukui round inakuwa kama Dubai... ni hatari sana
Zitapigwa pale balaa mpemba na muunguja,kingine hata ule utalii unaoringiwa utakua wa masharti sana kwa watalii,bara kuna sehemu nyingi za blue safari tourism attract kama kilwa kuna beach nzuri kushinda hata znz na ukizingatia pia kuna selous ambapo mtalii akienda pale atajidai na utalii wa bahari na vile akitoka kidogo atawaona wanyama ila serikali kama imeacha ile sehemu sababu ikiwa itaua utalii wa znzHizi ndoto za kijiweni, Zanzibar iwe kama Dubai?😄😄😄😄
Dubai, Saudi Arabia na U.A.E ni vibaraka wa Marekani kupitia OPEC+.
Mtaishia tu kuwa kama Mauritius na Comoros na msipokaa sawa kama Yemeni.
Hamna sababu za kiuchumi kuwa kama Dubai.
Hawajui wanajidanganya kwenye vijiwe vya Kahawa.Zitapigwa pale balaa mpemba na muunguja,kingine hata ule utalii unaoringiwa utakua wa masharti sana kwa watalii,bara kuna sehemu nyingi za blue safari tourism attract kama kilwa kuna beach nzuri kushinda hata znz na ukizingatia pia kuna selous ambapo mtalii akienda pale atajidai na utalii wa bahari na vile akitoka kidogo atawaona wanyama ila serikali kama imeacha ile sehemu sababu ikiwa itaua utalii wa znz
Tunavyozitafuna pisi za kizenji, bonyee mdebwedo
Muungano uendelee
Mbona tunabishana madesa ya shule ya Msingi hapa?Unaweza kuwa sawa ila usiwe sawa kwa komenti yako.
Moja qmbayo nakubali ni issue ya kiwanda cha sukari nk, hilo lina ajenda yake kwa nini inakuwa hivyo nadhani ni kutokana na issue ya uzalishaji ukija kwenye demand and supply.
Na kwenye umeme unataka kunidanganya kama jamaa flani nilikuta analalamika kwenye daladala la kutoka Pwani mchangani kuja Darajani, kuwa Tanganyika imesababisha treni iliyokuwepo huko nyuma Unguja kuuliwa.
Nilicheka sana nikajiukiza for what purpose uue treni au kiwanda cha kuzalisha umeme? NO!.
Haiwezekani na siyo kweli kwamba mitambo ya umeme imekufa kwa sababu ya muungano hilo kaa utafute ukweli mkuu, usidanganye watu hapa!.