Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chadema-saccos ichukue tanganyika ipi unayoongelea?Ngoja CDM wachukue Tanganyika na CUF wachukue Zanzibar
Wazo lako litatimia kwa mkataba lakini/shirikisho
Warioba aliwauliza maswali Kikwete na Pinda kwamba ni lini wameshakanyaga Zanzibar kukagua au kushiriki shughuli za kimaendeleo?Ikizingatiwa wao ni viongozi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa mujibu wa katiba,hadi leo hakuna kati ya hao aliyejibu swali hilo tofauti na kuja na vioja na mipasho mipya kila siku.Kwakuwa hadi leo hawajajibu,Hivyo wao ni viongozi wa Tanganyika.Vilevile Zanzibar ina rais na viongozi wake wengine.SWALI LANGU NI JE RAIS WA TANZANIA NI NANI?.MUUNDO WA MUUNGANO:Wakati Tanzania haina Rais ila kuna rais wa tanganyika(JAKAYA M KIKWETE),CCM inatuambia tanganyika haipo bali kuna Tanzania na Zanzibar.KAMA TANGANYIKA HAIPO KWANINI TANGANYIKA INA RAIS? KAMA TANZANIA IPO,RAIS WAKE NI NANI?KAMA NDIYE HUYU JK,JE KWANINI HANA MAMLAKA YOYOTE KWA MAMBO YA ZANZIBAR?Hivi Prof SHIVJI we unaona hili ni sawa na uprofesa wako?CCM mnaliona hili sawa?HUU MUUNGANO UNA MASWALI MENGI KULIKO MAJIBU,KARIBUNI KWA MJADALA!
Ndugu Buchanan, shughuli zisizo za muungano zinasimamiwa na serikali gani kwa upande wa bara?
Wengi hamjui Katiba ya Jamhuri ya Muungano, 1977 inasemaje kuhusu Mambo ya Muungano. Haya tuambie juu ya Ibara yoyote inayosema kuwa "Shughuli za Maendeleo" ni jambo la Muungano! Ndio maana JK hajaona umuhimu wa kujibu maswali ya mzee wenu Warioba kwa kuwa hiyo Katiba ya sasa inampiga chenga huyo mzee Warioba!