Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa Mataifa mawili na si idadi ya watu. Kihalali mgao wowote ulitakiwa uwe 50/50

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Huo ndio ukweli.

Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika.

Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana wapaswa kuwa 50/50

Maendeleo hayana vyama!
 

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa Mataifa mawili ( nchi 2, faida Za huu muungano ni zipi?​

 
Haina shida hata kwenye kulipa iwe 50/50..
Hata sheria ya Mzanzibar kumiliki ardhi Bara iwe sawa na Mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar.

Kama hela TBL mnapokea basi na kiwanda kingine cha TBL kijengwe huko.
 
Vip kulipa napo sheikh?
 
kama tunashea gharama za muungano sawasawa iltakiwa iwe pasu kwe mavuno ya muungano 'huu ndo ukweli na sio huo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…