Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa Mataifa mawili na si idadi ya watu. Kihalali mgao wowote ulitakiwa uwe 50/50

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa Mataifa mawili na si idadi ya watu. Kihalali mgao wowote ulitakiwa uwe 50/50

Huo ndio ukweli.

Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika.

Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana wapaswa kuwa 50/50

Maendeleo hayana vyama!
Huu Muungano umefeli na watu wanaogopa kutafuta usuluhisho.
 
Nyerere aliona nini Zanzibar??..

Kuna namna tunapata namna ya kujilinda vizuri kiulinzi tukiikalia Zanzibar?.
Tunachopata ni kikubwa kuliko tunavyofikiria.

Ni kama anachopata MO kwa wekundu wa msimbazi.
 
Zanzibar wanavuna nini? Vitaje
kama tunachangia gharama za muungano sawa kwa sawa then inatakiwa tugawane sawa kwa sawa pia
je....tunachangia gharama za muungano kwa usawa?
kama sio sawa then anachokisema mtoa mada hakiwezekani
 
kama tunashea gharama za muungano sawasawa iltakiwa iwe pasu kwe mavuno ya muungano 'huu ndo ukweli na sio huo wako
Siyo kweli hatushei gharama za muungano, Rais wa Jmt halipwi na mapato toka Zanzibar.
 
Zanzibar fedha Za TBL wanazitaka ila hawataki kukiona kiwanda cha TBL Zanzibar
Vijamaa vina unafiki mwingi sana vile.

Swali langu kwenye kutatua kero za muungano nani aliiwakilisha Tanganyika?

#MaendeleoHayanaChama
 
Kama Zanzibar wako serious wanautaka muungano tuunde serikali moja tu.
 
It's high time Tanganyika tuache kuwa mazuzu..au Serikali tatu ziundwe..

Huu muungano wetu ni wakichupli chupli balaa yaani..One of a kind.
 
Vijamaa vina unafiki mwingi sana vile.

Swali langu kwenye kutatua kero za muungano nani aliiwakilisha Tanganyika?

#MaendeleoHayanaChama
Kuna waziri anayeshughulikia muungano, na ndo maana rais wa Zanzibar ni waziri asiye na wizara maalum kwenye baraza la mawaziri wa JMT.
 
Back
Top Bottom