Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa Mataifa mawili na si idadi ya watu. Kihalali mgao wowote ulitakiwa uwe 50/50

Wasomi ??!!!
 
Kama ni muungano mbona wao wanaendelea kutumia zanzibar na sisi tanganyika tumeliacha tunatumia tanzania,mbn wanaraisi wao sisi hatuna tuna raisi wa tanzania sio tanganyikaaa anyway vipiiii mkuuuu na kulipa ni 50/50 kwa uchumi wa zanzibar wataweza kulipa
 
Nanaona mabinti wazuri kule mkuu. Mkopo unaweza kulipika
 
Inasema kwenye ibara gani ya hiyo katiba?
Ibara sikumbuki. Ila kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar, Zanzibar ni nchi na ina Serikali.

Na kwa mujibu wa Katiba ya JMT, Tanzania ni nchi na ina Serikali 2, SMZ na Serikali ya JMT. Kwa hiyo, jumla ni nchi 2 na Serikali 2.
 
Baba mzazib wa Maza unamfahamu ?
Her father was a school teacher and her mother a housewife. Ms Hassan graduated from high school but has said publicly that her finishing results were poor, and she took a clerkship in a government office at 17.

Kwa mujibu wa hii

Je Zanzibar hata ipewe 50/50 ina uwezo wa kurudisha mikopo inayokopwa
 
Samia is married to her husband Hafidh Ameir, at present a retired agricultural officer since 1978. They have 4 children, her second born, Wanu Hafidh Ameir (born 1982), is a special seat member of the Zanzibar House of Representatives.
 
Kweli na Prof Tibaijuka !!

Mama ni Rais bara na Mtoto ni mbunge visiwani. Pelekeni fedha Za mikopo visiwani mkitarajia zitalipwa . Walipaji wa hizo fedha wako mwanza,arusha na dodoma
 
Kila mtu alipe anachokichukua na kukitumia. Zanzibar wakiweza wapate hata mgao wa asilimia 80, ili mradi wanalipa wao huku hatuna shida.
 
the Sultanate of Zanzibar as Samia Hassan Suluhu. Ndiye baba yake?
Wabongo tumelogwa.
Historia nzuri muulizeni mzee mwinyi awafungue macho
 
Kujilinda Na nini Zanzibar ni mpaka uvuke bahari lakini Kenya, Uganda,Rwanda Burundi , Kongo, Malawi, Zambia Msumbiji unaingia kwenye vichaka Tu.
Wapi zaidi ni kwa kujilinda. Akili zenu ziko mkunduni?
Unashangaa nyambizi zinaibukia tu hapo magogoni na silaha nzito nzito au watu wanaibuka na mijegejo hapo bichi maarufu wakiwa na mashua kama wavuvi wa kawaida
 
Hakuna Cha Sawa sawa kila nchi ikope ki vyake Kama ni hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…