mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Wasomi ??!!!Mkuu serikali ya Muungano ina cover tanganyika na Zanzibar na SMZ ina cover Zanzibar tu. Maana yake Zanzibar kuna serikali mbili bara kuna serikali moja. Kwa hiyo tuna serikali tatu. 1 serikali ya SMZ
2. Serikali ya Muungano bara
3. Serikali ya Muungano Zanzibar
Huoni huu ni utata wa kimataifa tena ukizingatia bara kuna wasomi Bado hawaelewi hili jambo?