johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #141
Hahahaaaa...... Miaka ile ya nduli waliitwa " chambo"Idi Amin alipoivamia Tanganyika , vikosi vya kwanza kupelekwa Vilitoka ZNZ
naona umezima data kwenye akili, unafikiria kwa kutumia tumboHuo ndio ukweli.
Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika.
Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana wapaswa kuwa 50/50
Maendeleo hayana vyama!
Mgao 50/50 ni sawa. Lakini mikopo kila mmoja akakope anachoweza kulipa.Huo ndio ukweli.
Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika.
Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana wapaswa kuwa 50/50
Maendeleo hayana vyama!
Wewe unafikiria kwa kutumia unyayo!naona umezima data kwenye akili, unafikiria kwa kutumia tumbo
Mlilazimishwa kuiacha Tanganyi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mlilazimishwa kuiacha Tanganyika?
Huu ni uongo..Idi Amin alipoivamia Tanganyika , vikosi vya kwanza kupelekwa Vilitoka ZNZ
Huu ni uongo..
Brigedi ya Tabora ndio ilikuwa ya kwanza na sababu ya kuwa ya kwanza,
ilikuwa ishajiandaa(active) kwenda msumbuji kumsadia Samora Machel kupigania uhuru.

Mleta mada unachanganya mambo hapa.Huo ndio ukweli.
Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika.
Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana wapaswa kuwa 50/50
Maendeleo hayana vyama!
Mbona unaongea vitu tofauti wewe..Askari wa hiyo brigedi ya Tabora w
Soma historia ya vita vya Kagera.
Mazungumzo ya Mogadishu yalifikia makubaliano kwamba majeshi ya Tanzania yakae kilomita 16 kutoka mpaka wa Uganda au hata nje kabisa ya umbali huo,vile vile majeshi ya Uganda yaliamuriwa kukaa umbali huo huo sawa na majeshi ya Tanzania ingawa Tanzania haikufikiria kuwa Idi Amin angeishambulia.
Kikosi kilichokuwa na jukumu la kuulinda mpaka wa Uganda na Tanzania ni Brigedi ya 202 ya jeshi la wananchi Tabora,chini ya Brigedia Kamanda Yusuf Himid,ambaye alikuwa akisimamia Kanda ya Magharibi.
Huu ni uongo..
Brigedi ya Tabora ndio ilikuwa ya kwanza na sababu ya kuwa ya kwanza,
ilikuwa ishajiandaa(active) kwenda msumbuji kumsadia Samora Machel kupigania uhuru.
Mbona unaongea vitu tofauti wewe..
Hiyo treaty ya mogadishu ilikuwa miaka nane kabla ya vita.
Baada ya mwalimu kutangaza vita na Uganda Brigedi ya Tabora iliyokuwa inajiandaa kwenda
Msumbiji tiali ilikuwa iko njiani kuelekea Uganda.
Historia ipi tena niisome vizuri?
Nisome mara ngapi?Naona wewe ndio umesahau au kwa taarifa Soma kitabu vita vya Kagera
Nisome mara ngapi?
Wewe unafikiri kupeleka jeshi vitani ni kama sendoff.
Tabora ndio ilikuwa active na ndio walioenda.
Kikosi cha Zanzibar kilikuwa kinaitwaje?Unafikiri wa Zanzibari walichukuliwa vita ilipoanza Peke yake ? Walipelekwa kabla vita chini ya Brigadia Yussuf Himid
Kwani wazungu siku hizi hawanunui mik'unduZanzibar fedha Za mikopo kupokea wako tayari kulipa hawajui watauza nini Ili walipe mikopo.
Kikosi cha Zanzibar kilikuwa kinaitwaje?
Na kilienda lini kabla ya hiyo vita?

Duuh umeulizwa swali jingine unajibu jingine..Ndiyo nikakuambia kuwa
Kikosi kilichokuwa na jukumu la kuulinda mpaka wa Uganda na Tanzania ni Brigedi ya 202 ya jeshi la wananchi Tabora,chini ya Brigedia Kamanda Yusuf Himid,ambaye alikuwa akisimamia Kanda ya Magharibi.
Na kulipia huo mgao iwe 50/50. Mzee nyerere alituingiza chaka kutuunhanisha na ki mkoa. Heri ingekuwa Tanzania bara na Tanzania visiwani nchi mbili kuwa nchi moja.Huo ndio ukweli.
Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika.
Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana wapaswa kuwa 50/50
Maendeleo hayana vyama!
Hivi hujui kuwa Zanzibar haina jeshi ?Duuh umeulizwa swali jingine unajibu jingine..
Kikosi cha zanzibar kiliitwaje na kilienda lini uganda kupigana vita?
Hicho kikosi ulichokitaja umekataa hakikuwa cha kwanza kwenda vitani.