Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Mkuu Mwanakijiji naomba ufahamu wako katika hili. Wazanzibari wamechoka kuambiwa wanapiga kelele na kulalamika kila siku...Je, hizi ni kelele zisizo kichwa wala miguu???
 
Lwaitama anajadili juu ya muungano kwa kuwarushia makombora viongozi wa serikali na chama tawala kuwa ni wabinafsi hawataki kusema ukweli juu ya muungano

katika mjadala kuna pius mbawala anasema serikali 3 ni uhuni, viongozi wa sasa wahuni,viongozi wanaenzi muungano kwa maneno
 
katika mjadala kuna pius mbawala anasema serikali 3 ni uhuni, viongozi wa sasa wahuni,viongozi wanaenzi muungano kwa maneno

mtatiro wa cuf. Mwl na karume hawakufunga kimawazo tusiwaze ya walichofanya.anasema kujadili muungano si dhambi maana wengine tumezaliwa baada ya muungano
 
Mtatiro ka2lizwa na Dk lwaitama maana yeye anang'ang'ania serikali tatu ambayo haina maana zaidi ya kutuongezea matumizi ya serikali tatu, mimi kwa maoni yangu serikali moja ndo muhimu
 
Mtatiro anatetea hoja ya serikali tatu, wenzake wanampinga kuwa huko ni kuongeza gharama na kutasababisha kufa haraka kwa muungano
 
Mtatiro anatetea hoja ya serikali tatu, wenzake wanampinga kuwa huko ni kuongeza gharama na kutasababisha kufa haraka kwa muungano

mtatiro amevmwa na cham chake akaseme hivyo kaaazi kweli ila stahili serikali 1
 
Huyu msomi nimemkubali.

Aliwahi kuandika pia ' ...naomba tuwe makini katika tafakuri zetu....ni makosa kimaadili, kimkakati na kimantiki kusema kuwa kazi ya chama cha siasa ni kukihoofisha chama mshindani wake...vyama vinavyokumbatia dhana hii ni vyama vya kimamluki.......chama makini daima kikumbuke kuwa wananchi walio wengi si wanachama wa chama chochote cha siasa...chadema kisiige dhana za siasa za maji taka...'

Tumkubali huyu msomi.
 
Mtatiro ka2lizwa na Dk lwaitama maana yeye anang'ang'ania serikali tatu ambayo haina maana zaidi ya kutuongezea matumizi ya serikali tatu, mimi kwa maoni yangu serikali moja ndo muhimu

Si Prof. Lipumba alikuwa anajitapa kuwa yeye ni mlima Kilimanjaro? lakini huyu Dogo anathibitisha kuwa order zote zinatoka Zenji kwa Maalum mwenyewe, na Maalim anataka serikali tatu. Hii ndio adhabu ya adultery - ccm wanataka serikali mbili, lakini CUF ambayo inaunda Serikali ya umoja wa Kitaifa Zanzibar wanataka serikali tatu. utamtumikia bwana yupi Prof Lipumba?
 
wakuu mtatiro leo mada iko nje ya uwezo wake..nathan atajifunza nxt tym
 
Lwaitama anatema dongo kwa marais wanaokwenda kutembeza bakuli la kuomba vyandarua
 
Mkuu,ukweli ndo huo Mtatiro anapata amri zote kutoka kwa Maalim maana Lipumba anavumilia hapate japo hizo ruzuku pale Cuf na ndo maana hachoki kung'ang'ania kugombea uraisi wakati wananchi hawamtaki.
 
Dah huu Muungano cdhan kama utadumu maana wazanzibari na cc watanganyika hatuutaki..wazee wa Magamba ndo wanang'ang'ania!
 
Mkuu,ukweli ndo huo Mtatiro anapata amri zote kutoka kwa Maalim maana Lipumba anavumilia hapate japo hizo ruzuku pale Cuf na ndo maana hachoki kung'ang'ania kugombea uraisi wakati wananchi hawamtaki.

CUF ya Zenji ina agenda tofauti kabisa na CUF ya Bara na huyu Pro. Lipumba analifahamu hili lakini anakaa kimya kwa sababu zake au yuko gizani-hajui. Pili, sidhani kama Maalim Seif ni muumini wa Muungano. Na sasa Maalim yumo jikoni- kaungana na CCM (Makamo wa Rais) na wana dhamira moja. Kuondoa kile wanachoona kama madoa kwenye muungano na kama utapona kwenye mchakato huo basi muungano urudi kwa rangi wanayoitaka. Kwa kuanzia tu, tayari kuna wimbo wa Taifa, bendera, na hata katiba ya SMZ imeshakarabatiwa. Mtatiro, who???
 
Lakini Mtatiro amenena jambo kwa kusema CCM wanajidai kumvua gamba Makamba wakati Junuary Makamba yupo ndani.
 
Nadhani umefika wakati tukubali kuwa wazanzibar wamekuwa pamoja(CCM & CUF) so wanataka kupitia mabadiliko ya katiba wapate kupigania haki zao na kama vipi wavunje muungano...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…